figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Zamani ni kweli, wadada wanaojiuza Zanzibar, walikuwa ni kutoka Bara, lakini siku hizi, hata Wazanzibari wenyewe wamo, mimi ni shuhuda, wanaondoka majumbani mwao na hijab, wakifika kazini, hijab zinavuliwa, ndani wanakuwa wamevaa mavazi ya kazini, baada ya kazi, wanavaa tena hij zao, wanarudi makwao!.Wanadai wanaharibu Tamaduni za za Zanzibar..
Wanapata changamoto kuwakamata kwani hawana Ofisi, lakini wanawatambua kwa Mavazi kwamba huyu ni Mtanganyika..
Kwamba Polisi wamekuwa wakifanya Operation.
View attachment 3605757
My take:
Acheni Dada zenu wanaokuja Zanzibar kutumia hela zao wakae kwa Uhuru.. Mumekuwa mkiwanyanyasa kijinsia haadi wanalazimika kuvaa kama waislam wakati si Waislam.. Hizo nguo mnazowalizimisha wavae za maka na madina hawajazoea na hawajui hata kufunga kilemba.. Waachieni uhuru wao.. Tanzania ni moja na haina dini
Ndiyo maana hata yule dada poa aliyemuibua pale Skyway na akamfanya mke alimkimbia kwa sababu hiyo hiyo. Zanzibar wanaume kuzibuana mitaro ni jambo la kawaida sana wengi unawaona wametinga suti kali lakini mikundu iko waziiiiAstaghafillulah
Kweli kabisa hata wazenji wanajiuza huo ni ukweliZamani ni kweli, wadada wanaojiuza Zanzibar, walikuwa ni kutoka Bara, lakini siku hizi, hata Wazanzibari wenyewe wamo, mimi ni shuhuda, wanaondoka majumbani mwao na hijab, wakifika kazini, hijab zinavuliwa, ndani wanakuwa wamevaa mavazi ya kazini, baada ya kazi, wanavaa tena hij zao, wanarudi makwao!.
Kufuatia kushamiri kwa biashara ya utalii, huwezi kuizuia biashara hii hivyo ushauri huu uzingatiwe Opinion: It's high time Tanzania tuhalalishe "The Oldest Profession" na Ikiwezekana tu-legalize Marijuana
P
Kama war on illegal drugs ilivyoshindwa, hili nalo litashindwa. Unless you bring the demand down to zero, huwezi kushinda hivi vita!Akijibu swali bungeni, Waziri amesema kuwa serikali ina mkakati madhubuti wa kufanya operesheni za mara kwa mara katika maeneo yanayodhaniwa kuwa na viashiria vya biashara ya ukahaba.
Amesema operesheni hizo hufanyika kupitia Jeshi la Polisi kwa kushirikiana na idara maalum, ambapo watu wanaobainika kujihusisha na vitendo hivyo hukamatwa na kufikishwa mahakamani.
========
"Mheshimiwa mwenyekiti kwa ruhusa yako naomba kumjibu swala maswala yake ya nyongeza yenye kifungu A na B Dr. Mohamed kama ifuatavyo. Mheshimiwa mkakati tunao na mkakati ambao tuliokuwa nao kwanza kufanya operesen katika hayo maeneo ambayo yanaviashiria vya hiyo biashara ya ukahaba.
Nadhani katika nyakati mbalimbali wa jeshi letu la polisi kwa kushirikiana na idara maalum huwa nafanya operes na huwa inawakamata na kuwapeleka mahakamani. Kwa hiyo mkakati ambao uliokuwepo mheshimiwa mwenyekiti ni kufanya operation za mara kwa mara katika maeneo hayo ambayo yanafanywa biashara hiyo au yanadhaniwa kufanya biashara ya ukahama
View attachment 3605757
My take:
Acheni Dada zenu wanaokuja Zanzibar kutumia hela zao wakae kwa Uhuru.. Mumekuwa mkiwanyanyasa kijinsia haadi wanalazimika kuvaa kama waislam wakati si Waislam.. Hizo nguo mnazowalizimisha wavae za maka na madina hawajazoea na hawajui hata kufunga kilemba.. Waachieni uhuru wao.. Tanzania ni moja na haina dini
Ni kweli, ila tofauti na Wabongo, Wazenj hawapangi bei, wanaona aibu, na wanakubali kiasi chochote kama asante tuu, wakati Wabongo wanapanga bei na pesa mbele!, hivyo Wazenj kujikuta wanalipwa zaidi na kiukweli wanajituma ila ndio vile tena, chapa ng'ombe huwa hatushibi!.Kweli kabisa hata wazenji wanajiuza huo ni ukweli
Naunga mkono hoja, as long as the demand is there, supply will keep on being there!.Kama war on illegal drugs ilivyoshindwa, hili nalo litashindwa. Unless you bring the demand down to zero, huwezi kushinda hivi vita!
Abdalah kichwa wazi hatosheki, anatoka kuzama akiibuka akiona sampuli nyingi analiamsha tena, na kusema kweli katuponza wengi sana huyu.Ni kweli, ila tofauti na Wabongo, Wazenj hawapangi bei, wanaona aibu, na wanakubali kiasi chochote kama asante tuu, wakati Wabongo wanapanga bei na pesa mbele!, hivyo Wazenj kujikuta wanalipwa zaidi na kiukweli wanajituma ila ndio vile tena, chapa ng'ombe huwa hatushibi!.
P