Waziri: Wanaojiuza Zanzibar wanatoka Tanzania bara na Kenya

Hv kwann Zanzibar wamepata kiburi Cha kupakazia watanganyika mambo mabaya ?
 
Legend!
 
Kama war on illegal drugs ilivyoshindwa, hili nalo litashindwa. Unless you bring the demand down to zero, huwezi kushinda hivi vita!
Unashindaje vita na anayetumia silaha yenye uwezo kunasa hata hao maaskari wa vyombo??
 
Ubaguzi mbaya sana

JK Nyerere: ubaguzi ni kama kula nyama ya mtu ukionja uwezi kuacha
Alijua haya yote yet he sold tanganyika kwa hao wabaguzi?
Ali miscalculate outcome ya muungano
 
Alijua haya yote yet he sold tanganyika kwa hao wabaguzi?
Ali miscalculate outcome ya muungano
Nyerere alikuwa na nia ya kuwafanya kuwa mkoa wa Tanganyika... ccm wakabuni chimbo lao la kupigia pesa!
 
Bhebheshi ulijuaje kua wanajituma angu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…