Waziri: Wanaojiuza Zanzibar wanatoka Tanzania bara na Kenya

Kwa hiyo wazinzabari ni watakatifu sana na wabara ni wadhambi sana 🤔

Mmh
 
Hivi yule polisi shoga alikuwa mzanzibar au mtanganyika, na wale mabinti waliokamatwa na mkuu wa mkoa hiko pemba walikuwa wanatoka Tanganyika.
Kwanini zanzibar wanaongoza kwa takwimu za kubaka na ulawiti?
 
Nimeipata vema hiyo fasihi 🤣🤣🤣nchi ngum hii!!
Kama unapenda kula vitu laini laini kama chapati maji, urojo, tende, halua wali nazi, Zanzibar, utafaidi, maana ni walaini kama maini!, lakini kama unapenda vyakula vigumu vigumu kama ugali, Zanzibar utaishia kulala njaa!.
P
 
Hivi wale wanaume mashoga waliojazana kwenye mahoteli ya Zanzibar nao wanatoka wapi na kile kiswahili Chao Cha kizanzabar Zanzibar tupu
 
Kweli kabisa ila wakaka poa wanatokea palepale kwao
 
Ukweli mtupu,wa bara wanakuja znz kujiuza Kwa wageni,wakitoka huko kwao wanásema wanakuja znz kufanya KAZI hotel, wamejazana ToT.
Sasa kwa mazingira ya Zanzibar ili kahaba akajiuze kwa foreigners inabidi aidha aombe kazi za chini hotelini kama za usafi, au ajilipue alipie chumba hapohapo hotelini hata cha 100K kwa siku...halafu wanashea gharama hiyo kahaba watatu,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…