GRAMAA
JF-Expert Member
- Nov 1, 2014
- 1,241
- 3,800
Waziri wangu wa elimu malipo ni hapa hapa duniani.
Nakumbuka niliteseka sana kukupata ofisini kwako. Nilikusumbukia ndani ya wiki nzima bila ya mafanikio.
Jumatatu moja nilikaa ofisini kwako kuanzia sana mbili asubuhi mpaka saa tisa jioni ndiyo nikafanikiwa kukuona.
Lakini bado nilipokuona uliniambia kama ifuatavyo "Nina dakika tano tu za kukusikiliza shida yako hivyo ongea haraka haraka"
Haya majibu yaliniuma sana waziri wangu na nadhani niliumia zaidi ya ulivyoumia wewe leo.