Waziri wangu wa Elimu nakukumbusha tu malipo ni hapa hapa duniani

Hukwenda na mada , dk 5 tu ungekua na issue inayoeleweka ungesikilizwa zaidi.
We unaenda unakaa magetini ukiulizwa huwezi kujieleza hata mimi kasongo ntakufukuza.
 
Unapoona makosa ya mwenzako unapaswa kumshukuru Mungu wala sio kumlaumu aliyekosea kwasababu Mungu amekujalia wewe HEKIMA ya kuona makosa.
 
Unajua ratiba ya waziri lakini?
Kwenye biashara kuna kitu kinaitwa "Elevator Pitch". Yaani, piga hesabu. Ungekuwa na waziri kwenye lifti, kutoka ground floor hadi floor ya tano. Na una idea ya kumpa ili akufikirie. Ungesema nini?

Dak 5 alizopewa jamaa zilikuwa nyingi sana. Ajifunze elevator pitching, angeweza kusema shida bila kuzunguka zunguka, na akaeleweka.
 
Waziri wangu wa elimu malipo ni hapa hapa duniani.

Nakumbuka niliteseka sana kukupata ofisini kwako. Nilikusumbukia ndani ya wiki nzima bila ya mafanikio.

Jumatatu moja nilikaa ofisini kwako kuanzia sana mbili asubuhi mpaka saa tisa jioni ndiyo nikafanikiwa kukuona.

Lakini bado nilipokuona uliniambia kama ifuatavyo "Nina dakika tano tu za kukusikiliza shida yako hivyo ongea haraka haraka"

Haya majibu yaliniuma sana waziri wangu na nadhani niliumia zaidi ya ulivyoumia wewe leo.
Hakika malipo ni hapa hapa Duniani !
Wenye masikio na wasikie !
Kama yupo mtesi ambaye bado hajafikiwa kwa kulipa katika kile alichowatendea wengine ajue siku zake zimekaribia haziko mbali sana 😳👍🙏
 
Kafanyiwa nini mkuu? Naomba unijuze
Prof. Mkenda kasema alikuwa anabaniwa kumuona rais ikulu ili kufanya wasilisho (presentation) la mabadiliko ya mitaala.

Lkn machawa wake akina Steve Mengele na Waziri Salum wanaingia ikulu kama chooni
 
Waziri wangu wa elimu malipo ni hapa hapa duniani.

Nakumbuka niliteseka sana kukupata ofisini kwako. Nilikusumbukia ndani ya wiki nzima bila ya mafanikio.

Jumatatu moja nilikaa ofisini kwako kuanzia sana mbili asubuhi mpaka saa tisa jioni ndiyo nikafanikiwa kukuona.

Lakini bado nilipokuona uliniambia kama ifuatavyo "Nina dakika tano tu za kukusikiliza shida yako hivyo ongea haraka haraka"

Haya majibu yaliniuma sana waziri wangu na nadhani niliumia zaidi ya ulivyoumia wewe leo.
Leo kafanywa nini tena?
 
Prof. Mkenda kasema alikuwa anabaniwa kumuona rais ikulu ili kufanya wasilisho (presentation) la mabadiliko ya mitaala.

Lkn machawa wake akina Steve Mengele na Waziri Salum wanaingia ikulu kama chooni
Nchi imefikia hapa? Waziri ananyimwa kwenda ikulu? Tumefika patamu kweli kweli.
 
Hapa duniani ukiwa na connection sahihi maisha huwa mepesi sana. Nikiwa mwanafunzi enzi waziri wa fedha Mustafa Mkulo nilishawahi kumpita kwenye foleni aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Mbeya ndugu Mwakipesile. Nilimkuta kwenye benchi na watu wengine wanasubiria kuingia kwenye ofisi ya Kigogo mmoja wizarani. Nikiwa ndani kule secretary akawa anamkumbusha huyo kigogo kuwa RC kasubiri muda mrefu sana. Nadhani nilivyotoka ndo akaingia.
Huu ni upumbavu kabisa. Mawazo ya kinyani-nyani kama yako ndiyo yameifikisha Tanzania hapa ilipo.
 
Waziri wangu wa elimu malipo ni hapa hapa duniani.

Nakumbuka niliteseka sana kukupata ofisini kwako. Nilikusumbukia ndani ya wiki nzima bila ya mafanikio.

Jumatatu moja nilikaa ofisini kwako kuanzia sana mbili asubuhi mpaka saa tisa jioni ndiyo nikafanikiwa kukuona.

Lakini bado nilipokuona uliniambia kama ifuatavyo "Nina dakika tano tu za kukusikiliza shida yako hivyo ongea haraka haraka"

Haya majibu yaliniuma sana waziri wangu na nadhani niliumia zaidi ya ulivyoumia wewe leo.
Tit for tat is a fair play.
 
Huu ni upumbavu kabisa. Mawazo ya kinyani-nyani kama yako ndiyo yameifikisha Tanzania hapa ilipo.
Duniani hakuna haki.... kuna watu wanalipwa noti ndefu kwa kuwatengenezea wengine connections kwenye mambo yao. Wakati wewe unazinguliwa na Mkenda kuna mtu akipiga simu wakati Mkenda anaoga mke wake atapokea na kumwambia "Shemeji naweza kumpelekea simu hukohuko bafuni"....
 
Ndiyo maana nakuambia wewe na Samia hamna tofauti. Kichwani ni sifuri.
 
Prof. Mkenda kasema alikuwa anabaniwa kumuona rais ikulu ili kufanya wasilisho (presentation) la mabadiliko ya mitaala.

Lkn machawa wake akina Steve Mengele na Waziri Salum wanaingia ikulu kama chooni
Atakula jeuri yake
 
Back
Top Bottom