Waziri wangu wa Elimu nakukumbusha tu malipo ni hapa hapa duniani

Waziri wangu wa elimu malipo ni hapa hapa duniani.

Nakumbuka niliteseka sana kukupata ofisini kwako. Nilikusumbukia ndani ya wiki nzima bila ya mafanikio.

Jumatatu moja nilikaa ofisini kwako kuanzia sana mbili asubuhi mpaka saa tisa jioni ndiyo nikafanikiwa kukuona.

Lakini bado nilipokuona uliniambia kama ifuatavyo "Nina dakika tano tu za kukusikiliza shida yako hivyo ongea haraka haraka"

Haya majibu yaliniuma sana waziri wangu na nadhani niliumia zaidi ya ulivyoumia wewe leo.
Mkenda Yuko kama mfanya biashara wa kihindi, Huwa hajali muda WA MTU kama mtu msoni
 
Waziri wangu wa elimu malipo ni hapa hapa duniani.

Nakumbuka niliteseka sana kukupata ofisini kwako. Nilikusumbukia ndani ya wiki nzima bila ya mafanikio.

Jumatatu moja nilikaa ofisini kwako kuanzia sana mbili asubuhi mpaka saa tisa jioni ndiyo nikafanikiwa kukuona.

Lakini bado nilipokuona uliniambia kama ifuatavyo "Nina dakika tano tu za kukusikiliza shida yako hivyo ongea haraka haraka"

Haya majibu yaliniuma sana waziri wangu na nadhani niliumia zaidi ya ulivyoumia wewe leo.
Tuna viongozi wa hovyo na wajinga sn
 
Hapa duniani ukiwa na connection sahihi maisha huwa mepesi sana. Nikiwa mwanafunzi enzi waziri wa fedha Mustafa Mkulo nilishawahi kumpita kwenye foleni aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Mbeya ndugu Mwakipesile. Nilimkuta kwenye benchi na watu wengine wanasubiria kuingia kwenye ofisi ya Kigogo mmoja wizarani. Nikiwa ndani kule secretary akawa anamkumbusha huyo kigogo kuwa RC kasubiri muda mrefu sana. Nadhani nilivyotoka ndo akaingia.
 
Kiongozi wengi wamelaaniwa. Ukitaka kujua hilo subiri ashuke wanatia hutuma. Mzuzuri kwa mfano
 
Waziri wangu wa elimu malipo ni hapa hapa duniani.

Nakumbuka niliteseka sana kukupata ofisini kwako. Nilikusumbukia ndani ya wiki nzima bila ya mafanikio.

Jumatatu moja nilikaa ofisini kwako kuanzia sana mbili asubuhi mpaka saa tisa jioni ndiyo nikafanikiwa kukuona.

Lakini bado nilipokuona uliniambia kama ifuatavyo "Nina dakika tano tu za kukusikiliza shida yako hivyo ongea haraka haraka"

Haya majibu yaliniuma sana waziri wangu na nadhani niliumia zaidi ya ulivyoumia wewe leo.
Leo kaumiaje?!!!
Hizo dakika tano zilizaa nn katika mazungumzo yenu?!!
 
Viongozi wengi ni wajingawajinga, hawajui kabisa kuhudumia raia wao
 
Waziri wangu wa elimu malipo ni hapa hapa duniani.

Nakumbuka niliteseka sana kukupata ofisini kwako. Nilikusumbukia ndani ya wiki nzima bila ya mafanikio.

Jumatatu moja nilikaa ofisini kwako kuanzia sana mbili asubuhi mpaka saa tisa jioni ndiyo nikafanikiwa kukuona.

Lakini bado nilipokuona uliniambia kama ifuatavyo "Nina dakika tano tu za kukusikiliza shida yako hivyo ongea haraka haraka"

Haya majibu yaliniuma sana waziri wangu na nadhani niliumia zaidi ya ulivyoumia wewe leo.
madaraka yanalewesha, kwahyo msamehe bure.
 
UNGEMJIBU HIVI " MH KAMA UNADAKIKA TANO TU ZA KUNISIKILIZA JE HUO MUDA WA KUSHUGHULIKIA SWALA LANGU UTAUPATA?" THEN UKAMWAMBIA NASHUKURU KWA MUDA WAKO NA UKASEPA
 
Ni kweli hata Mimi nilipangiwa dakika 3 tu kuongea na mkuu mmoja , wanatutesa sana !
Halafu hata ukifanikiwa kuongea naye hana suluhisho la tatizo lako.
 
Jumatatu moja nilikaa ofisini kwako kuanzia sana mbili asubuhi mpaka saa tisa jioni ndiyo nikafanikiwa kukuona.

Lakini bado nilipokuona uliniambia kama ifuatavyo "Nina dakika tano tu za kukusikiliza shida yako hivyo ongea haraka haraka"

Na wewe mlalamishi sanaa, unatumia nini sasa wasioonwa kabisa na kuto ongea nae wasemeje!!!!!

Amekuona, haukuwa na appointment na akakusikiliza. Pia anza kujifunza ya kikazi dakika tano ni wewe kumpa yako wakiona ya kusikiliza au kukudaia yeye ataendelea nawe kama ya wasaidizi atakuagiza huko kama sio yao basi.

Mada hii ni wewe binafsi acha kuishi na visasi.

Hili liwe funzo kujua ya makazini, na pia usimuombee baya ambao labda hakukufanyia na wala hakukujua.

Rais ni bosi wake haya hayaendani na yako.
 
Mimi nilipangiwa sekunde 30 niongee shida yangu nikivuta pumzi ananiambia huo muda unaohema unaupoteza sekunde zako
 
Back
Top Bottom