Waziri wangu wa Elimu nakukumbusha tu malipo ni hapa hapa duniani

GRAMAA

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2014
Posts
1,241
Reaction score
3,800
Waziri wangu wa elimu malipo ni hapa hapa duniani.

Nakumbuka niliteseka sana kukupata ofisini kwako. Nilikusumbukia ndani ya wiki nzima bila ya mafanikio.

Jumatatu moja nilikaa ofisini kwako kuanzia sana mbili asubuhi mpaka saa tisa jioni ndiyo nikafanikiwa kukuona.

Lakini bado nilipokuona uliniambia kama ifuatavyo "Nina dakika tano tu za kukusikiliza shida yako hivyo ongea haraka haraka"

Haya majibu yaliniuma sana waziri wangu na nadhani niliumia zaidi ya ulivyoumia wewe leo.
 
Pole sana
Pole sana
 
Ni kweli hata Mimi nilipangiwa dakika 3 tu kuongea na mkuu mmoja , wanatutesa sana !
 
karma ni nyoko
 
Ndiyo maneno ya wachawi wetu hayo (Wabunge na mawaziri wote ni wachawi tu) na ndiyo maana hawalijuwi walifanyalo. Kibongo bongo utashangaa mtu ni Profesa lakini yuko useless kichwani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…