Waziri wangu wa Elimu nakukumbusha tu malipo ni hapa hapa duniani

Hukwenda na mada , dk 5 tu ungekua na issue inayoeleweka ungesikilizwa zaidi.
We unaenda unakaa magetini ukiulizwa huwezi kujieleza hata mimi kasongo ntakufukuza.
 
Unapoona makosa ya mwenzako unapaswa kumshukuru Mungu wala sio kumlaumu aliyekosea kwasababu Mungu amekujalia wewe HEKIMA ya kuona makosa.
 
Unajua ratiba ya waziri lakini?
Kwenye biashara kuna kitu kinaitwa "Elevator Pitch". Yaani, piga hesabu. Ungekuwa na waziri kwenye lifti, kutoka ground floor hadi floor ya tano. Na una idea ya kumpa ili akufikirie. Ungesema nini?

Dak 5 alizopewa jamaa zilikuwa nyingi sana. Ajifunze elevator pitching, angeweza kusema shida bila kuzunguka zunguka, na akaeleweka.
 
Hakika malipo ni hapa hapa Duniani !
Wenye masikio na wasikie !
Kama yupo mtesi ambaye bado hajafikiwa kwa kulipa katika kile alichowatendea wengine ajue siku zake zimekaribia haziko mbali sana 😳👍🙏
 
Kafanyiwa nini mkuu? Naomba unijuze
Prof. Mkenda kasema alikuwa anabaniwa kumuona rais ikulu ili kufanya wasilisho (presentation) la mabadiliko ya mitaala.

Lkn machawa wake akina Steve Mengele na Waziri Salum wanaingia ikulu kama chooni
 
Leo kafanywa nini tena?
 
Prof. Mkenda kasema alikuwa anabaniwa kumuona rais ikulu ili kufanya wasilisho (presentation) la mabadiliko ya mitaala.

Lkn machawa wake akina Steve Mengele na Waziri Salum wanaingia ikulu kama chooni
Nchi imefikia hapa? Waziri ananyimwa kwenda ikulu? Tumefika patamu kweli kweli.
 
Huu ni upumbavu kabisa. Mawazo ya kinyani-nyani kama yako ndiyo yameifikisha Tanzania hapa ilipo.
 
Tit for tat is a fair play.
 
Huu ni upumbavu kabisa. Mawazo ya kinyani-nyani kama yako ndiyo yameifikisha Tanzania hapa ilipo.
Duniani hakuna haki.... kuna watu wanalipwa noti ndefu kwa kuwatengenezea wengine connections kwenye mambo yao. Wakati wewe unazinguliwa na Mkenda kuna mtu akipiga simu wakati Mkenda anaoga mke wake atapokea na kumwambia "Shemeji naweza kumpelekea simu hukohuko bafuni"....
 
Ndiyo maana nakuambia wewe na Samia hamna tofauti. Kichwani ni sifuri.
 
Prof. Mkenda kasema alikuwa anabaniwa kumuona rais ikulu ili kufanya wasilisho (presentation) la mabadiliko ya mitaala.

Lkn machawa wake akina Steve Mengele na Waziri Salum wanaingia ikulu kama chooni
Atakula jeuri yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…