ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 16,871
- 39,881
Kupima marinda hospitaliUnathibitisha vipi huyo Anko T anaingiliwa kinyume na maumbile? Unatoa ushahidi gani mahakamani
Kwani wanawake wakibakwa wanagundulika vip
Kupima marinda hospitaliUnathibitisha vipi huyo Anko T anaingiliwa kinyume na maumbile? Unatoa ushahidi gani mahakamani
Mfano wanawake wote 90% wanaofanya bongo Movie wanashawishi umalaya Ila hawahamashishi umalyaAmefanya kosa gani ? Kuongea Kama wnawake na kuvaa Kama wanawake ndo akamatwe ?
Kama anahamasisha ushoga akamatwe Ila Kama anashawishi asikamatwe .
Kuhamashisha ni Kama James Delicious Ila kushawishi ni Kama hawa wasanii wanaosuka ,kuvaa hereni, kuvaa vitop na kusuka .
Anko T anashawishi ushoga Ila sio kuhamashisha maana muda mwingi naona anauza mawigi.
Mashoga wauwaweMnapenda kulalamika, kila kitu mama.
Unatenganisha vip kuhamasisha na kushawishiMfano wanawake wote 90% wanaofanya bongo Movie wanashawishi umalaya Ila hawahamashishi umalya
Kwahiyo kimantiki na kimaana hauwezi kuwakamata kwa kusema wanaharibu jamii kisa tu wanavaa kimalaya na kuongea kimalaya Ila watabidi wakamatwe endapo wanahamasisha umalaya .
Kwahiyo BASATA hua wanakosea kuwaita hao wasanii na kuwaonya wanapovaa nusu uchi? Ingekua sio kosa wangekua wanaitwa na BASATA?Mfano wanawake wote 90% wanaofanya bongo Movie wanashawishi umalaya Ila hawahamashishi umalya
Kwahiyo kimantiki na kimaana hauwezi kuwakamata kwa kusema wanaharibu jamii kisa tu wanavaa kimalaya na kuongea kimalaya Ila watabidi wakamatwe endapo wanahamasisha umalaya .
Unamchukua tuu unaenda kumpima? Kwa kosa gani amefanya? Mpaka huyo mwanamke anaenda kupimwa kuna kesi inandelea ikaamriwa hivyo.. so mnataka huko mnamchukua mnaenda kumpimaKupima marinda hospitali
Kwani wanawake wakibakwa wanagundulika vip
Mfano wasanii Kama Diamond , harmonize , marioo hawa wanasuka ,kuvaa hereni , kuvaa vitop kukatika mauno Kama wanawake n.kUnatenganisha vip kuhamasisha na kushawishi
tatizo sheria za nchi zinasemaje kuhusu hao watu,waziri anafuata sheria na taratibu za nchi haendi kichwa kichwa ,
tatizo sheria za nchi zinasemaje kuhusu hao watu,waziri anafuata sheria na taratibu za nchi haendi kichwa kichwa ,
Huyo anahamasisha na kushawishiMfano wasanii Kama Diamond , harmonize , marioo hawa wanasuka ,kuvaa hereni , kuvaa vitop kukatika mauno Kama wanawake n.k
Mfano mwanao akiwatazama hawa wasanii anaweza kushawishika kuanza kukata mauono, kuvaa hereni, kusuka na kuvaa vitop.
Ila kuhamasisha , ni pale unakuwa unaubadilisha mtazamo mzima wa MTU kiakili, kihisia mpaka hata kiroho.
Ukiangalia uncle T hajawahi kuwabadilisha vijana akili wala hisia kwa kuwaambia ili waishi vizuri wawe mashoga , n.k
Anachofanya Anko T ni kilekile kinafanywa na wasanii , karibia wote wanoimba kuvaa hereni kukata maoni, kuvaa vitop n.k
Influence (Kushawishi)
Persuasion (Kuhamasisha)
Sasa katika influence inaweza kuwa good or bad mfano Anko T ana good na ana bad anavaa kike n.k
Ila muda huo huo anachapa Kazi Anauza mawigi n.k
So kumuhukumu kisa mavazi , Mwonekano n.k unakuwa unakosea Iikitokea siku anahamasisha ushoga basi akamatwe.
a
Kuhamasisha na kushawishi ni mambo mawili tofauti japo yanweza kutoa matokeo yanayofanana .Huyo anahamasisha na kushawishi
Fikiria watoto wadogo wanaomtazama wanaweza kuvutia na mienendo yake na baadaye kuwa mashoga