Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 12,463
- 27,556
Wanawake watamtetea tu na hata akiwekwa kolokoloni watamtolea dhamana.
Utawezaje kuthibitisha kama yupo hivyo unavyomzungumzia?
Comment kama hizi nilizitegemea kutoka Kwa wanawake. Kazi ipoUnaenda kumpima kwa sheria gani? Na amevunja kanuni zipi? Na utathibitisha vipi hizo tuhuma?
angenza na yule bosi wake kwanza maana kwa huyo uliyemtaja ni mbali sanaMama Shikamoo pole na majukumu ya kulipambania Taifa letu Kwa ujumla wake.
Sina mengi sana ila nataka kujua kuhusu huyu mdogo wetu,kijana, wetu Maarufu Kwa jina la Anko T.
Huyu kijana Kwa muda mrefu Sasa nimekuwa nikimuona kwenye mitandao ya kijamii Kwakweli nashindwa nimuweke kundi lipi kati ya KE au ME.
Vaa yake,Ongea yake na cheza yake inatatiza sana. Je serikali imeshindwa vipi kumchukua na kwenda kumpima kujua ulijari wake Kisha kukaa nae na kumwambia wanaume hatupaswi tuwe Hivi?
Kinachositikisha zaidi nikuona uungwaji mkono unatoka Kwa wanawake Hivi uchungu wenu siku hizi hauna maana kabisa kiasi hicho?
Mkae mkijua huyu Anko Kuna wimbi la Watoto wakiume watamuiga na matokeo yake baada ya miaka michache mbele mtaona Watoto wakina Anko T wengi kama uyoga.
Je huko mbele kama Taifa tutakuwa na jeshi kweli? Ikitokea dharula vijana tunahitajika kwenda kulipigania Taifa huyu Anko T atakuwa mmoja wetu kweli?
Haya haya tulisema kuhusu wakina Joti na yule kijana mwingine jina nimesahau kuwa maigizo Yao Yana mlengo wa kushoto ila hatukueleweka matokeo yake ndo haya ya akina Anko T na wengine wengi.
Mama Nina uhakika una kazi nzito mno ila unaweza sana. Binafisi nakupa 5 Tena na Tena.
Ahsantee sana.
Utawezaje kuthibitisha kama yupo hivyo unavyomzungumzia?
Maisha yalivyo magumu hivi mnapata wapi muda wa kufatilia wenzenu wanaopambana na umaskini? shika jembe ukalime, umaskini sio sifa.
Lia kwa nguvuAcha kutetea uchoko aiseeView attachment 3445221
Anayo ID yake humu, ungemwandikia aipate moja kwa moja.Mama Shikamoo pole na majukumu ya kulipambania Taifa letu Kwa ujumla wake.
Sina mengi sana ila nataka kujua kuhusu huyu mdogo wetu,kijana, wetu Maarufu Kwa jina la Anko T.
Huyu kijana Kwa muda mrefu Sasa nimekuwa nikimuona kwenye mitandao ya kijamii Kwakweli nashindwa nimuweke kundi lipi kati ya KE au ME.
Vaa yake,Ongea yake na cheza yake inatatiza sana. Je serikali imeshindwa vipi kumchukua na kwenda kumpima kujua ulijari wake Kisha kukaa nae na kumwambia wanaume hatupaswi tuwe Hivi?
Kinachositikisha zaidi nikuona uungwaji mkono unatoka Kwa wanawake Hivi uchungu wenu siku hizi hauna maana kabisa kiasi hicho?
Mkae mkijua huyu Anko Kuna wimbi la Watoto wakiume watamuiga na matokeo yake baada ya miaka michache mbele mtaona Watoto wakina Anko T wengi kama uyoga.
Je huko mbele kama Taifa tutakuwa na jeshi kweli? Ikitokea dharula vijana tunahitajika kwenda kulipigania Taifa huyu Anko T atakuwa mmoja wetu kweli?
Haya haya tulisema kuhusu wakina Joti na yule kijana mwingine jina nimesahau kuwa maigizo Yao Yana mlengo wa kushoto ila hatukueleweka matokeo yake ndo haya ya akina Anko T na wengine wengi.
Mama Nina uhakika una kazi nzito mno ila unaweza sana. Binafisi nakupa 5 Tena na Tena.
Ahsantee sana.
unatumia sheria gani kumkamata?una ushahidi gani kuwa ni shoga?Tabia za kishoga
Ushoga ni kinyume na sheria na maadili ya jamii na Taifa letu
laZima hizo tabia za kipumbavu tuzikemee Kwa pamoja
Wabongo wamevurugwa na maisha magumu, bas tafranii tupu. LolTz ni nchi ngumu sana, Amekosea nini huyo kijana kumfanya achukuliwe akapimwe?
😂😂😂😂😂😂 mnanichekesha sana, Lolhapo ndio shida na ndio maana wanawapuuzia tu labda kama wakiamua kuwatia hatiani kwa kuwategea mtego au kuwavizia wakifanya iyo vitendo vya kuingiliana ,ushahidi uwepo wa kutosha,ukikurupuka kuwakamata bila ushahidi wa kutosha inaweza kula kwako
😂😂😂😂😂Maisha yalivyo magumu, utafutaji wake na kupata maendeleo, sidhani kama wengine tuna muda na huyo mtu!
Atajijuwa na familia yake na kama katenda kosa au anatenda lazima angeshachukuliwa hatua!
Tuendelee kutafuta hela kihalali, achana naye.
Na huyo James delicious anahamasisha vipi? Em fafanua hapa, ili watu tuelewee.Amefanya kosa gani ? Kuongea Kama wnawake na kuvaa Kama wanawake ndo akamatwe ?
Kama anahamasisha ushoga akamatwe Ila Kama anashawishi asikamatwe .
Kuhamashisha ni Kama James Delicious Ila kushawishi ni Kama hawa wasanii wanaosuka ,kuvaa hereni, kuvaa vitop na kusuka .
Anko T anashawishi ushoga Ila sio kuhamashisha maana muda mwingi naona anauza mawigi.
😁😁😁Na huyo James delicious anahamasisha vipi? Em fafanua hapa, ili watu tuelewee.
😂😂😂😂😂😂 mbona badoo!! Mtakomaa safarii hii.Vita ya ushoga ni ngumu sana,kumbe wapo wengi hivi,na wanateteana kwa nguvu zote na mapovu juu!!
Sasa na James delicious anahamasisha vipi? Tudadavulie Dr wetu. Waja tupate ufahamu.Mfano wasanii Kama Diamond , harmonize , marioo hawa wanasuka ,kuvaa hereni , kuvaa vitop kukatika mauno Kama wanawake n.k
Mfano mwanao akiwatazama hawa wasanii anaweza kushawishika kuanza kukata mauono, kuvaa hereni, kusuka na kuvaa vitop.
Ila kuhamasisha , ni pale unakuwa unaubadilisha mtazamo mzima wa MTU kiakili, kihisia mpaka hata kiroho.
Ukiangalia uncle T hajawahi kuwabadilisha vijana akili wala hisia kwa kuwaambia ili waishi vizuri wawe mashoga , n.k
Anachofanya Anko T ni kilekile kinafanywa na wasanii , karibia wote wanoimba kuvaa hereni kukata maoni, kuvaa vitop n.k
Influence (Kushawishi)
Persuasion (Kuhamasisha)
Sasa katika influence inaweza kuwa good or bad mfano Anko T ana good na ana bad anavaa kike n.k
Ila muda huo huo anachapa Kazi Anauza mawigi n.k
So kumuhukumu kisa mavazi , Mwonekano n.k unakuwa unakosea Iikitokea siku anahamasisha ushoga basi akamatwe.
a