Waziri wetu Dkt. Gwajima, huyu “Anko T” Wizara yako imeshindwa kabisa kumuweka sawa?

Waziri wetu Dkt. Gwajima, huyu “Anko T” Wizara yako imeshindwa kabisa kumuweka sawa?

Ushoga ni jinai sema ni ngumu kuuthibitisha mahakamani ikiwa mshitakiwa atakana kosa
Hiyo kwa wenzetu wanajua tu kama sio riziki...
Mfano hii ya Rais wa Ufaransa na mkewe, jamaa kawavalia njuga mpaka kitaeleweka.....
 
Amefanya kosa gani ? Kuongea Kama wnawake na kuvaa Kama wanawake ndo akamatwe ?

Kama anahamasisha ushoga akamatwe Ila Kama anashawishi asikamatwe .

Kuhamashisha ni Kama James Delicious Ila kushawishi ni Kama hawa wasanii wanaosuka ,kuvaa hereni, kuvaa vitop na kusuka .

Anko T anashawishi ushoga Ila sio kuhamashisha maana muda mwingi naona anauza mawigi.
Unamfatilia 😳😹😹
 
Mama Shikamoo pole na majukumu ya kulipambania Taifa letu Kwa ujumla wake.

Sina mengi sana ila nataka kujua kuhusu huyu mdogo wetu,kijana, wetu Maarufu Kwa jina la Anko T.

Huyu kijana Kwa muda mrefu Sasa nimekuwa nikimuona kwenye mitandao ya kijamii Kwakweli nashindwa nimuweke kundi lipi kati ya KE au ME.

Vaa yake,Ongea yake na cheza yake inatatiza sana. Je serikali imeshindwa vipi kumchukua na kwenda kumpima kujua ulijari wake Kisha kukaa nae na kumwambia wanaume hatupaswi tuwe Hivi?

Kinachositikisha zaidi nikuona uungwaji mkono unatoka Kwa wanawake Hivi uchungu wenu siku hizi hauna maana kabisa kiasi hicho?


Mkae mkijua huyu Anko Kuna wimbi la Watoto wakiume watamuiga na matokeo yake baada ya miaka michache mbele mtaona Watoto wakina Anko T wengi kama uyoga.

Je huko mbele kama Taifa tutakuwa na jeshi kweli? Ikitokea dharula vijana tunahitajika kwenda kulipigania Taifa huyu Anko T atakuwa mmoja wetu kweli?

Haya haya tulisema kuhusu wakina Joti na yule kijana mwingine jina nimesahau kuwa maigizo Yao Yana mlengo wa kushoto ila hatukueleweka matokeo yake ndo haya ya akina Anko T na wengine wengi.


Mama Nina uhakika una kazi nzito mno ila unaweza sana. Binafisi nakupa 5 Tena na Tena.

Ahsantee sana.
Mambo ya Sampampa
Mambo ya mchezo😂😂😂
 
Issue nzito nzito kama hizi Mama Gwajima hawezi. Anaweza wanafunzi wamepigana chuoni.

Hata issue ya dada wa Lake Oil kakung'utwa kazini. Waziri Gwajima mbona alipotea mjini ?

Lakini kwa upande mwingine, hana kosa. Kwenye tawala kama hii ya sasa labda sio kazi zake hizo, mabosi zake Ikulu hawategemei achokonoe chokonoe na kufuatili mambo makubwa makubwa ya Ushoga na wafanyakazi wanapigwa Lake Oil Company. Kampuni ina skendo halafu ndio kwanza imepewa tenda mpya ya ku supply fuel ya Mwendokasi. Kampuni ya wenye nchi, Mama Gwajima anaisogelea vipi ? Msukuma aliyezikwa Geita alipambana na kampuni jangili mpaka mwisho wake. He died trying.

Waliokuja, they know, skendo likija kiongozi nyamaza kimya litapita. Mabosi Ikulu nako wana ma skendo yao wamebonyea yapite, hawana time kufuatilia Waziri ana skendo gani la ku deal nalo. Unfortunately. Sucks big time.
 
Anko T kafanana sana na Tulia Ackson sijui ni ndugu. Huyu Anko T kaolewa kabisa na anaishi na bwana. Huu ni uzao wa laaana. Nasikia wanalindwa sana na Msoga and Kizimkazi Empire usiwaguse. Shilole and Batuli muigizaji.
 
Ili serikali iingilie kati inabidi hawa kuwateka watandikwe viboko kisawa sawa hadi watanyooka.
 
Anko T kafanana sana na Tulia Ackson sijui ni ndugu. Huyu Anko T kaolewa kabisa na anaishi na bwana. Huu ni uzao wa laaana. Nasikia wanalindwa sana na Msoga and Kizimkazi Empire usiwaguse. Shilole and Batuli muigizaji.
Umezungumza kwa uchache ebu tufafanulie vizuri anko T kaolewa na nani pia Shilole na Batuli wanausikaje na hii mada
 
Tabia za kishoga
Ushoga ni kinyume na sheria na maadili ya jamii na Taifa letu
laZima hizo tabia za kipumbavu tuzikemee Kwa pamoja
Sheria ipi mkuu? Tanzania hakuna sheria mahsusi ya kudhibiti ushoga iliyopo inapinga kuingiliana kinyume na maumbile kwa jinsia zote mbili. Ina maana kama ambavyo huyo dogo akikamatwa basi pia wanawake wanaolawitiwa wanapaswa pia kukamatwa.
 
Msukuma aliyezikwa Geita alipambana na kampuni jangili mpaka mwisho wake. He died trying
Yaleyale tu, si Mwanyika alikua na kesi ya uhujumu uchumj kupitia Barrick. Ila akampa ubunge kabisa na alimfanyia kampeni
 
Back
Top Bottom