Waziri wetu Dkt. Gwajima, huyu “Anko T” Wizara yako imeshindwa kabisa kumuweka sawa?

angenza na yule bosi wake kwanza maana kwa huyo uliyemtaja ni mbali sana
 
Anayo ID yake humu, ungemwandikia aipate moja kwa moja.
 
Tuna matatizo makubwa kuliko ushoga, umaskini uliokithiri, utekaji na mauaji, uchaguzi wa wizi na ufisadi etc kuwa serious na lea uwaelimishe vizuri watoto wako wasiwe mashoga
 
Tabia za kishoga
Ushoga ni kinyume na sheria na maadili ya jamii na Taifa letu
laZima hizo tabia za kipumbavu tuzikemee Kwa pamoja
unatumia sheria gani kumkamata?una ushahidi gani kuwa ni shoga?
 
hapo ndio shida na ndio maana wanawapuuzia tu labda kama wakiamua kuwatia hatiani kwa kuwategea mtego au kuwavizia wakifanya iyo vitendo vya kuingiliana ,ushahidi uwepo wa kutosha,ukikurupuka kuwakamata bila ushahidi wa kutosha inaweza kula kwako
😂😂😂😂😂😂 mnanichekesha sana, Lol
 
Maisha yalivyo magumu, utafutaji wake na kupata maendeleo, sidhani kama wengine tuna muda na huyo mtu!
Atajijuwa na familia yake na kama katenda kosa au anatenda lazima angeshachukuliwa hatua!
Tuendelee kutafuta hela kihalali, achana naye.
😂😂😂😂😂
 
Na huyo James delicious anahamasisha vipi? Em fafanua hapa, ili watu tuelewee.
 
Sasa na James delicious anahamasisha vipi? Tudadavulie Dr wetu. Waja tupate ufahamu.
😂😂😂😂😂
 
Akampime alafu amfanyeje? Ushauri muelimishe mwanao maswala ya jinsia na maadili kumzuia huyo watakuja wengine .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…