Waziri wetu Dkt. Gwajima, huyu β€œAnko T” Wizara yako imeshindwa kabisa kumuweka sawa?

Maisha yalivyo magumu hivi mnapata wapi muda wa kufatilia wenzenu wanaopambana na umaskini? shika jembe ukalime, umaskini sio sifa.
Wataweza wapiii? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
Wanaume wa Bongo hasa straight uchwara, ni wana kisirani cha ugumu wa maisha hatari.
Wanataka kila mtu apitie msoto km wao.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ushogaaaa hoyeeeeeeee!!!
πŸŒˆπŸ³οΈβ€πŸŒˆ chama kubwaaa, jeshi imara na haliteterekiii.

Straight uchwaraaa, kila siku mayowee yanarindima kutoka kwaoo...

Nikiwa km katibu mkuu wa chama, itifaki, itikadi na uenezi.

Tuta tawalaa dunia hii hadi mwisho wa pumzi zenu.
Hivyo maumivu ni endelevuu, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Naona raha mie, straight uchwara wakiwa wanahemkwa na kukerekwaaa!!!
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
 
Ndio nani huyu huko Daslam?
Hamna hata kapicha?
 
Anko T na wengine wote ni vipenzi wa chama cha mbogamboga... Wameachwa kwa lengo maalum...
 
Duh
 
Mkuu mbona umemtaja mmoja tu wengine umewaacha? Au huyo una bifu nae?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…