Hiyo kwa wenzetu wanajua tu kama sio riziki...Ushoga ni jinai sema ni ngumu kuuthibitisha mahakamani ikiwa mshitakiwa atakana kosa
Kwasababu kawaambia watafute sasampa 😹😹😹Tz ni nchi ngumu sana, Amekosea nini huyo kijana kumfanya achukuliwe akapimwe?
😹😹😹 Nilitoa comment kwenye hiyo picha yake akanichamba..!!
Unamfatilia 😳😹😹Amefanya kosa gani ? Kuongea Kama wnawake na kuvaa Kama wanawake ndo akamatwe ?
Kama anahamasisha ushoga akamatwe Ila Kama anashawishi asikamatwe .
Kuhamashisha ni Kama James Delicious Ila kushawishi ni Kama hawa wasanii wanaosuka ,kuvaa hereni, kuvaa vitop na kusuka .
Anko T anashawishi ushoga Ila sio kuhamashisha maana muda mwingi naona anauza mawigi.
Pacha ako umemuona wanamsema 😹😹Mnapenda kulalamika, kila kitu mama.
Mambo ya SampampaMama Shikamoo pole na majukumu ya kulipambania Taifa letu Kwa ujumla wake.
Sina mengi sana ila nataka kujua kuhusu huyu mdogo wetu,kijana, wetu Maarufu Kwa jina la Anko T.
Huyu kijana Kwa muda mrefu Sasa nimekuwa nikimuona kwenye mitandao ya kijamii Kwakweli nashindwa nimuweke kundi lipi kati ya KE au ME.
Vaa yake,Ongea yake na cheza yake inatatiza sana. Je serikali imeshindwa vipi kumchukua na kwenda kumpima kujua ulijari wake Kisha kukaa nae na kumwambia wanaume hatupaswi tuwe Hivi?
Kinachositikisha zaidi nikuona uungwaji mkono unatoka Kwa wanawake Hivi uchungu wenu siku hizi hauna maana kabisa kiasi hicho?
Mkae mkijua huyu Anko Kuna wimbi la Watoto wakiume watamuiga na matokeo yake baada ya miaka michache mbele mtaona Watoto wakina Anko T wengi kama uyoga.
Je huko mbele kama Taifa tutakuwa na jeshi kweli? Ikitokea dharula vijana tunahitajika kwenda kulipigania Taifa huyu Anko T atakuwa mmoja wetu kweli?
Haya haya tulisema kuhusu wakina Joti na yule kijana mwingine jina nimesahau kuwa maigizo Yao Yana mlengo wa kushoto ila hatukueleweka matokeo yake ndo haya ya akina Anko T na wengine wengi.
Mama Nina uhakika una kazi nzito mno ila unaweza sana. Binafisi nakupa 5 Tena na Tena.
Ahsantee sana.
😂😂😂 Utafutaji wa sasampa unaleta hasira.Kwasababu kawaambia watafute sasampa 😹😹😹
Umezungumza kwa uchache ebu tufafanulie vizuri anko T kaolewa na nani pia Shilole na Batuli wanausikaje na hii madaAnko T kafanana sana na Tulia Ackson sijui ni ndugu. Huyu Anko T kaolewa kabisa na anaishi na bwana. Huu ni uzao wa laaana. Nasikia wanalindwa sana na Msoga and Kizimkazi Empire usiwaguse. Shilole and Batuli muigizaji.
Ewaaaa!! 😂😂😂😂
Sheria ipi mkuu? Tanzania hakuna sheria mahsusi ya kudhibiti ushoga iliyopo inapinga kuingiliana kinyume na maumbile kwa jinsia zote mbili. Ina maana kama ambavyo huyo dogo akikamatwa basi pia wanawake wanaolawitiwa wanapaswa pia kukamatwa.Tabia za kishoga
Ushoga ni kinyume na sheria na maadili ya jamii na Taifa letu
laZima hizo tabia za kipumbavu tuzikemee Kwa pamoja
Mwanaume gani ana watoto? Yule naye alikosa kasi ya kufanya anaachana na mashoga original anakimbizana na Bibi kizeeMfano hii ya Rais wa Ufaransa na mkewe,
Yaleyale tu, si Mwanyika alikua na kesi ya uhujumu uchumj kupitia Barrick. Ila akampa ubunge kabisa na alimfanyia kampeniMsukuma aliyezikwa Geita alipambana na kampuni jangili mpaka mwisho wake. He died trying
HaswaaaKabla yakushikwa huyo anko wako wamkamate kwanza joti aka dada kiboga