TANZIA Waziri William Lukuvi (na Mbunge wa Isimani) afariki Dunia

Wakristo wenye ushawish utamazlizwa na Wana mtandao

haya mauaji hayataisha mpaka ile list ikamlishwe

na wakrsto walio serikalni Wala hawajashtuka kiuwa wanawindwa
Mmmh hawa ndiyo waTanzania vichwa panzi kwahiyo wakristo wauawe ili iweje? Mpumbavu kabisa
 
Nyie SiSiEmu kwakweli mtamalizana. Wengi wanajua vita ni serikali na CDM. Vita ipo humo humo ndani.
Kwahiyo sahizi tutalajie kila mwezi kuanguka senior mmoja. Sie tupo.
Akifa kiongozi au mwanasiasa huyo ameuawa ila akifa bibi yako basi amekufa kwa natural death au kwa UTI usiwe mpuuzi kwahiyo viongozi au wanasiasa hawapaswi kufa?
 

Tutamkumbuka kwa uchawa wake tu . Ukiwa chawa utakumbukwa kwa uchawa tu
 
Kwa miaka yake 71 ya uhai, si haba! Kama ni kuitafuna tu keki ya Taifa, ameitafuna na kuimeza vizuri kabisa.
 
Hakuna connection na kukamatwa kwa HP kweli, huenda HP alikuwa na mawasiliano solid sana na baadhi ya viongozi wa juu wa serikali hii
Una akili sana wewe, umeconnect dots vizuri, nawaona wale wote waliokua na mawasiliano na HP wanapata kitu na box. Na huko HP alikofichwa anawataja wote. rip
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…