Kivipi tena mkuu mimi nijuavyo wote tumeumbwa na mungu na yeye ndio marejeo yetuSi kweli
Kivipi tena mkuu mimi nijuavyo wote tumeumbwa na mungu na yeye ndio marejeo yetuSi kweli
Siyo rahisiApumzike kwa amani
Wengine ni wa shetaniKivipi tena mkuu mimi nijuavyo wote tumeumbwa na mungu na yeye ndio marejeo yetu
Kwa kawaida mtu anayejiona na kujiita ana akili ndio huwa oppisiteWatanzania wote wenye akili timamu na mapenzi mema na nchi yetu tumefurahi sana
Acha uchonganishiTuzidi kumuombea Sana, Mhe. Majaliwa
Bado una amini yupo Hai?Hakuna connection na kukamatwa kwa HP kweli, huenda HP alikuwa na mawasiliano solid sana na baadhi ya viongozi wa juu wa serikali hii
Aya ndio upeleke sadaka sasa wewe na mazuzu wenzio wa kigalatia! StupidityNiliona unabii kwenye channel ya Haleluyah TV kuhusiana na vifo vya wabunge wa chama tawala.
Possibly mkuuBado una amini yupo Hai?
Kifo ni kwa kila mtu boss!Hakuna connection na kukamatwa kwa HP kweli, huenda HP alikuwa na mawasiliano solid sana na baadhi ya viongozi wa juu wa serikali hii
Pengo ni kwa familia yake tuu, maisha yana mbadala wako wengi sana tena waliokuzidi uboraKama ameondoka basi atakuwa ameacha pengo kubwa...hivi alikuwa wizara gani?
Kwani kuna shida? Si amekufa basi!Ngoja tuone....