IamMrLiverpool
JF-Expert Member
- Apr 27, 2014
- 4,878
- 7,526
Aliwahi kutoa kauli yoyote kukemea utekaji?
Aliwahi kutoa kauli yoyote kukemea mauaji ya 2910?
Tuanzie hapo.
Aliwahi kutoa kauli yoyote kukemea mauaji ya 2910?
Tuanzie hapo.
Niliona unabii kwenye channel ya Haleluyah TV kuhusiana na vifo vya wabunge wa chama tawala.Rais Samia, amesikitika kutangaza kifo cha William Vangimembe Lukuvi (Mb.), aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) pamoja na Mbunge wa Jimbo la Isimani.
Kwa mujibu wa taarifa rasmi, Lukuvi amefariki dunia leo tarehe 25 Machi, 2026, majira ya saa moja asubuhi katika Hospitali ya Benjamin Mkapa, jijini Dodoma, alipokuwa akipatiwa matibabu kufuatia ugonjwa wa mshtuko wa moyo.
Rais Samia ametoa salamu za pole kwa Spika wa Bunge, familia ya marehemu, wananchi wa Jimbo la Isimani, ndugu, jamaa na marafiki, pamoja na Watanzania wote kwa ujumla kufuatia msiba huo.
View attachment 3562430
Ukifa utaacha pengo Kwa familia Yako tu mkuu ambapo linazibwa ndani ya muda mchache na maisha yanaendelea kama haukuwepo tuKama ameondoka basi atakuwa ameacha pengo kubwa...hivi alikuwa wizara gani?
Kifo ni siri ya mungu hata mimi na wewe hatuna uhakika wa kufika hata keshoMpaka 2030, Vichwa vingi vitakuwa Vimeinamishwa
mpaka sasa ni wangapi wamekufa?Niliona unabii kwenye channel ya Haleluyah TV kuhusiana na vifo vya wabunge wa chama tawala.
Kakimbia ICC huyo!!Kifo ni kifo tuu, meituletee taharuki!
Duh!Rais Samia, amesikitika kutangaza kifo cha William Vangimembe Lukuvi (Mb.), aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) pamoja na Mbunge wa Jimbo la Isimani.
Kwa mujibu wa taarifa rasmi, Lukuvi amefariki dunia leo tarehe 25 Machi, 2026, majira ya saa moja asubuhi katika Hospitali ya Benjamin Mkapa, jijini Dodoma, alipokuwa akipatiwa matibabu kufuatia ugonjwa wa mshtuko wa moyo.
Rais Samia ametoa salamu za pole kwa Spika wa Bunge, familia ya marehemu, wananchi wa Jimbo la Isimani, ndugu, jamaa na marafiki, pamoja na Watanzania wote kwa ujumla kufuatia msiba huo.
View attachment 3562430
Si kweliHakika sisi sote ni wa mola