Hii comment muhimu sana hadi 2030, na watamalizwa wote taratibu kwa mtindo huo huo wa ugonjwa wa moyo, na jinsi wabongo walivyo wataaminishwa tu bila uchunguzi wowote; ili kuwapisha wanamtandao waje washike nchi kiulaini. Ila HP hakua smart, aliamua kabisa kurudi bongo akamatwe hai.Mafia na majasusi uwa ni lazima wafe au wajiue kwanza, lakini sio kukamatwa kizembe hai hadi kutoa siri zote.Unajua ukijiuliza hata uadui wa Nchimbi na mazeri hupati sababu ila ukiconnect dots unagundua kuwa huenda Nchimbi wakati akiwa balozi automatically walikuwa na mawasaliano na mabolozi wenzake akiwemo HP sasa naamini kulikuwa na mambo mazito wanayapanga kwa pamoja so baada ya kukamatwa HP huenda Kuna mambo mengi sana yamegunduliwa na watakufa sana mbaya zaidi hawa watu ni kama hawana hata tahadhari maana vipigo kwa upande wao ni vingi mno.
Tutegemee time Magu au wenye angalau ka element kauzalendo watapukutishwa vibaya mpaka kufikia 2030. Km wana uwezo wanatakiwa wasichelewe sana kupoteza wakati waamue liwalo na liwe maana kama bado HP wanaye wataendelea kuyajua mengi mno.
CCM yeyote akifa kwangu ni furaha tele.ina maana huna ndugu, jamaa na marafiki ambao ni ccm wakifa usione uchungu?
Kwani ukiteuliwa lazima ukubali?Tufanye kwa mfano wewe ndio Waziri umeteuliwa na Samia ungefanya nini kukemea utekaji na ingeleta impact gani?
Of course baada ya kusikia purukushani za kuvamiwa bora angejiwahisha tu maana kwa vyovyote vile alitakiwa kujua wakimkamata lazima atatoa siri zote na baada ya hapo watamumaliza. Sasa hivi baada ya mission kufeli atasababisha wengi sana wapotezwe, hata kina Bashungwa na wenzake kutowekwa kwenye hili baraza la mawaziri uchwara huenda walikuwa na mawasiliano na kina HPHii comment muhimu sana hadi 2030, na watamalizwa wote taratibu kwa mtindo huo huo wa ugonjwa wa moyo, na jinsi wabongo walivyo wataaminishwa tu bila uchunguzi wowote; ili kuwapisha wanamtandao waje washike nchi kiulaini. Ila HP hakua smart, aliamua kabisa kurudi bongo akamatwe hai.Mafia na majasusi uwa ni lazima wafe au wajiue kwanza, lakini sio kukamatwa kizembe hai hadi kutoa siri zote.
2026-1995=31 !!
Rais Samia, amesikitika kutangaza kifo cha William Vangimembe Lukuvi (Mb.), aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) pamoja na Mbunge wa Jimbo la Isimani.
Kwa mujibu wa taarifa rasmi, Lukuvi amefariki dunia leo tarehe 25 Machi, 2026, majira ya saa moja asubuhi katika Hospitali ya Benjamin Mkapa, jijini Dodoma, alipokuwa akipatiwa matibabu kufuatia ugonjwa wa mshtuko wa moyo.
Rais Samia ametoa salamu za pole kwa Spika wa Bunge, familia ya marehemu, wananchi wa Jimbo la Isimani, ndugu, jamaa na marafiki, pamoja na Watanzania wote kwa ujumla kufuatia msiba huo.
View attachment 3562430
Historia ya William Lukuvi
William Vangimembe Lukuvi ni mmoja wa wanasiasa mashuhuri wa Tanzania ambaye amekuwa na mchango mkubwa katika masuala ya ardhi, maendeleo ya makazi, na siasa za kitaifa. Akiwa Mbunge wa Jimbo la Ismani kwa zaidi ya miaka 30 tangu mwaka 1995 mpaka kufariki mwaka 2026, Lukuvi ameshikilia nyadhifa mbalimbali za uwaziri.
Maisha ya Awali na Elimu
William Lukuvi alizaliwa tarehe 15 Agosti 1955 katika kijiji cha Mapogoro, Wilaya ya Iringa Vijijini, Tanganyika. Alipata mafunzo yake ya awali katika Tabora Teachers College (TTC) na baadaye kuhitimu Shahada ya Uzamili katika Sayansi ya Siasa kutoka Chuo Huria cha Tanzania.
Safari ya Kisiasa
Lukuvi alianza safari yake ya kisiasa kwa kuchaguliwa kuwa Mbunge wa Jimbo la Ismani mnamo mwaka 1995 kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), nafasi ambayo ameendelea kushikilia hadi amefariki Dunia March 25, 2026.
Aidha, amehudumu kama Waziri katika nyadhifa mbalimbali, ikiwa ni pamoja na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Bunge.
Mnamo Juni 2023, Rais Samia Suluhu Hassan alimteua kuwa Mshauri wa Rais kuhusu Mahusiano ya Kisiasa na Kijamii na baada ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 Rais Samia alimteua William Lukuvi kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) nafasi ambayo ameishikilia mpaka kufariki kwakwe.
Zaidi, Soma=> CV ya William Lukuvi
Ameacha bonge la Hoteli,,,,,,,Ila kifo hakibagui ππΎ
Nadhani atakayeguswa kwa namna yake ndio aende!Shiriki kwenye msiba kwa moyo mkunjufu.
Mengine yatafuatia baadaye!
Tuwe tofauti na WAO!
Hatuwez kushiriki upuuzi waende wakazikane wenyewe.Shiriki kwenye msiba kwa moyo mkunjufu.
Mengine yatafuatia baadaye!
Tuwe tofauti na WAO!
Elewa context!Lukuvi anahusiana nini na Chadema?
Amandla...
Kama sijaelewa context ina maana umeshindwa kujieleza. Kosa ni lako, sio langu.Elewa context!
Mpaka 2030, Vichwa vingi vitakuwa Vimeinamishwa
Hawa ni mishahara tu ndio inajennga hizo hotel au πππAmeacha bonge la Hoteli,,,,,,,