TANZIA Waziri William Lukuvi (na Mbunge wa Isimani) afariki Dunia

Hapo kama alikuwa na wake wawili basi vita ya mali inafuka moto

Hawa madingi pamoja na uroho wao, waga wanajiandalia vizuri sana kesho zao. Niliona kwa Mzindakaya, alipokufa tuu, msimamizi wa mirathi akawa alishamteua akiwa hai, kugawa mali kama alivyotaka yeye. Kila mtoto, mke ana chake pale na hakuna kelele na mzee alikuwa na wake na watoto kibao.
Ukute tayari hapo kuna muongozo "Will" ameshaandika miaka kibao. Kila mtu anajua chake kiko wapi hapo. Hakuna wa kusumbua mwingine.
 
Rest well in eternal peace.
sisi wanafamilia wa redcross Tanzania tutakukumbuka daima
 
Mchezo gani??
Mzee alwahi kuropoka sehemu kuwa starehe yake ni kutembea na vibinti vidogo vya shule na sharti vimnyonye mknd* wakiwa kwenye shughuli...Dodoma nzima anajulikana kwa huo mchezo na huenda viagra ndo imetoa matokeo
 
Siasa ni mchezo mchafu sana. ZAIDI inaangaliwa 2030. Je, tumpe nani baada ya huyu?. Je, anayeachiwa kijiti ni CHAWA haswa? au siyo chawa na AKIPEWA NGUVU atafukua MAKABURI ya OCT 29 na kumuuza Rodrigo Durtete huko ICJ. Mnaotaka hicho kiti, haki ya Mungu mwombeni Mungu awalinde. Nje ya hapo, mshtuko wa moyo unawahusu.
 
Hawa madingi pamoja na uroho wao, waga wanajiandalia vizuri sana kesho zao. Niliona kwa Mzindakaya, alipokufa tuu, msimamizi wa mirathi akawa alishamteua akiwa hai, kugawa mali kama alivyotaka yeye. Kila mtoto, mke ana chake pale na hakuna kelele na mzee alikuwa na wake na watoto kibao.
Ukute tayari hapo kuna muongozo "Will" ameshaandika miaka kibao. Kila mtu anajua chake kiko wapi hapo. Hakuna wa kusumbua mwingine.
Mkuu kufa ni kufa tu hakuna ufundi

Mali ni za walio hai aliyekufa hana lake

Kila mwenye kukera dunia hii ili asikutese kumbuka atakufa tu na kifo ndio mwisho wa wenye tamaa na laana
 
Mzee alwahi kuropoka sehemu kuwa starehe yake ni kutembea na vibinti vidogo vya shule na sharti vimnyonye mknd* wakiwa kwenye shughuli...Dodoma nzima anajulikana kwa huo mchezo na huenda viagra ndo imetoa matokeo
Duh

Ova
 
Sukuma gang shitukeni mtamalizwa wote maana mmekaa kishamba sana wakati mna support ya wananchi.
 
Back
Top Bottom