kukoshanakumila
Member
- Mar 5, 2026
- 16
- 25
Au ndo hawa wameamua kumstaafisha kwa lazimahttps://www.jamiiforums.com/threads/dc-kiswaga-endapo-william-lukuvi-atagoma-kustaafu-ubunge-isimani-wananchi-tutamstaafisha-kwa-lazima.2346987/
Japokuwa siwapendi CCM ningependa kutoa pole kwa Amos Lukuvi na Norbert Lukuvi kwa kufiwa na Baba yenu mpendwa.
pombe amuachie nanHaya sasa mtoto wake ajiandae kuchukua fomu kumrithi
Angesema ataishi milele yangeumba?😅😅 Maneno huumba
Jimbo liko wazi mkuu🤝🏽ametendea haki maneno yake
Kiongozi gani wa CCM mzuri? Kuna hata mmoja alikemea upotevu wa nguvu kazi tarehe 29 Oktoba 2025 hadi tarehe 3 Novemba?Viongozi wazuri wanapukutika sana utawala huu...
Ni coincidence?
Rest easy Lukuvi.
Soma vizuri kwenye uzi imetajwa hapo.Kama ameondoka basi atakuwa ameacha pengo kubwa...hivi alikuwa wizara gani?
Nimesema maneno huumba, sijazungumzia kuishi milele au kuto kuishi. Kafa tayari na imekuwa fursa kwa alietaka jimboAngesema ataishi milele yangeumba?
Tufanye kwa mfano wewe ndio Waziri umeteuliwa na Samia ungefanya nini kukemea utekaji na ingeleta impact gani?Aliwahi kutoa kauli yoyote kukemea utekaji?
Aliwahi kutoa kauli yoyote kukemea mauaji ya 2910?
Tuanzie hapo.
Angekufa tu hata asingesema boss. Apumzike kwa amani.Nimesema maneno huumba, sijazungumzia kuishi milele au kuto kuishia. Kafa tayari na imekuwa fursa kwa alietaka jimbo
Mbali sn hukoMpaka 2030, Vichwa vingi vitakuwa Vimeinamishwa