TANZIA Waziri William Lukuvi (na Mbunge wa Isimani) afariki Dunia

Nakumbuka kuna binti hapa JF alisema alitaka kumpitia ila binti alisitukia mchezo.
 
At once tulikuwa lakini wengine kuna wakati hujitoa na kukaa upande wa muovu.

Ccm yeyote ni zao la Mungu lililokengeuka likamkumbatia shetani na fahari zake hivyo wakifa hata wote mtu kama mimi sina kitakachonisikitisha.
Duh! 😳
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…