hatimaye Baraza la mawaziri limepata mjumbe mwenye asili ya Asia.
Ameshiba,Mitumba ilimshinda nyerere ye ataweza kweli,Eti mitumba ni uchafu, kwa maana hata sisi wavaa mitumba ni wachafu tu, hao wapiga kura wake karibia wote ni wavaa mitumba
Sent using Jamii Forums mobile app
Haa[emoji28][emoji1][emoji2][emoji23][emoji16][emoji16][emoji3][emoji2][emoji2][emoji39][emoji39][emoji8]
Tujiandae Kuvaa Suti Nchi Nzima Kuanzia
Mjini Hadi Vijijini, Subira Inahitajika Unapopewa Cheo Ama Nafasi. Mengine Yanakera Yanachefua Sana
Na ndo waliompa kuraHayo wayasikie wauza mtumba wa ilala na karume maneno ya mbunge wao hayo anataka tuvae supesheri
Sent from my iPhone using JamiiForums
Jeshini unajitweza kivipi? Kila kitu siri! Aje TAMISEMI!Mkuu kwa Huseein Mwinyi huyo jamaa sijui hayo malezi ameyapata wapi ya kuwa muungwana pamoja na kuwa na cheo kikubwa.
Sijawahi kumsikia kabisa akiongea maneno ya kujitweza kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
tuzuie kwanza kuongozwa na vyama chakavuLeo 27/01/2020 baada ya kuapishwa Waziri Mpya wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Mussa Hassan Zungu alisema yafuatayo, "Nikushukuru Rais kwa kuniamini na kuniteua kuwa Waziri. Wakati nakuja watu waliniuliza utavaa nguo zako za mitumba au utavaa kitu kipya, lakini leo nimetia suti mpya, maana hata hiyo mitumba ni sehemu ya mazingira na ni sehemu ambayo inachafua hadhi ya nchi yetu.
Mavazi ya mtumba husaidia Watanzania wenye maisha ya kati na duni kujisitiri, si hivyo tu baadhi yake hukaribia ubora wa yale mavazi mapya.Je Waziri alikuwa sahihi? Ama itakuwa sahihi kuzuia nguo hizi?Tuchukue hatua zipi?
Karibuni wana JF.
Na ndo waliompa kura
Umemsahau Zhakia meghji
Kuna watu hata Mungu anajua kuwa hawafai kupewa vyeo vikubwa !
Jeshini unajitweza kivipi? Kila kitu siri! Aje TAMISEMI!