Waziri Zungu: Mitumba inachafua mazingira

Waziri Zungu: Mitumba inachafua mazingira

Haa[emoji28][emoji1][emoji2][emoji23][emoji16][emoji16][emoji3][emoji2][emoji2][emoji39][emoji39][emoji8]
Tujiandae Kuvaa Suti Nchi Nzima Kuanzia
Mjini Hadi Vijijini, Subira Inahitajika Unapopewa Cheo Ama Nafasi. Mengine Yanakera Yanachefua Sana
Zungu hajazungumzia mitumba mtoa mada kaongezea tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata Ulaya wanavaa mitumba
Hivi hawa watu huwa wakija nje wanalala tu na kutwanga maisha
Huwa hawayaoni maduka ya Charities kila kona ya miji? Yakiuza mitumba?
Na wewe na chaguo lako?
Kweli kuna watu wanajua kujitoa ufahamu


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Yule Hussein mwinyi amesoma QURAN Na anaishi kufuata misingi yake. Quran inakataza mja kujikweza. Ni kwa mantiki hiyo ndo mana msikitini watu wote ni sawa.
Mkuu kwa Huseein Mwinyi huyo jamaa sijui hayo malezi ameyapata wapi ya kuwa muungwana pamoja na kuwa na cheo kikubwa.

Sijawahi kumsikia kabisa akiongea maneno ya kujitweza kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenye aya ya kwanza (kama in kweli); hakuna toauti kubwa na yule Prof. aliyeshukuru Mh. Raising kwa kumwokota jalalani (UDSM).
Matamko ya badhi ya viongozi aisee sijui huwa wanakuwa wanawaza nini wakiwa wanaongea.
Psychologist na pyschriast mpo?
 
ojvjvdjvdj iojfeifeiv vjvbvd klddkljdfskjdf djdjdwh jk kj hehe knkjvnkjh jkds
 
Zungu hajazungumzia mitumba mtoa mada kaongezea tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Exactly, alichosema ni kuwa mitumba ni sehemu ya mazingira sema tu inashusha hadhi (kuna mahala hupaswi kuvaa mitumba kama alivyokuwepo yeye leo).
Kwa lugha rahisi ametetea wauzaji wa mitumba waliompa kura (soko la Karume/Ilala) yeye kiasi ya kuaminiwa na leo kuvaa suti.
 
Back
Top Bottom