mkuu unajua tatizo ni katiba yetu kwamba ili mtu awe waziri basi ni lazima mtu huyo awe mbunge.magufuli bana...asa huyu zungu kazeeka ana randuka hata kwenye picha ana jipya gani la kuleta kwenye the so called tanzania ya viwanda?
sasa ngosha kashaokota okota huko wenye angalau wameisha kilichobaki sasa anateua yeyote tu kutoka humo bungeni potelea mbali hadi uchaguzi mkuu ufike bdae mwaka huu.
katiba ndio tatizo kuu, nje ya bunge kuna watanzania wenye uwezo mkubwa sana kiuongozi kuliko wale "dhaifu" wanaojiita waheshimiwa pale dodoma
Sent using Jamii Forums mobile app