Waziri Zungu: Mitumba inachafua mazingira

magufuli bana...asa huyu zungu kazeeka ana randuka hata kwenye picha ana jipya gani la kuleta kwenye the so called tanzania ya viwanda?
mkuu unajua tatizo ni katiba yetu kwamba ili mtu awe waziri basi ni lazima mtu huyo awe mbunge.
sasa ngosha kashaokota okota huko wenye angalau wameisha kilichobaki sasa anateua yeyote tu kutoka humo bungeni potelea mbali hadi uchaguzi mkuu ufike bdae mwaka huu.

katiba ndio tatizo kuu, nje ya bunge kuna watanzania wenye uwezo mkubwa sana kiuongozi kuliko wale "dhaifu" wanaojiita waheshimiwa pale dodoma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna mtanzania hata mmoja mwenye kipato cha chini ambao kimsingi ndiyo tulio wengi hapa nchini atakaye kubaliana na huu ushauri wako.

Kumbuka leo hii kuna watu wanashindwa kuwapeleka watoto wao shule kisa kukosa mavazi.

Kuna wengine wanapata mlo mmoja tu badala ya milo mitatu.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Upo sahihi kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Amini usiamini mkuu biashara ya mitumba ndiyo inayo ongoza sana nadhani baada ya biashara ya chakula maana wanao kimbilia mitumba ni watu wahali za chini.
Ambao kkmsingi ndiyo tulio wengi zaidi kuliko wenye kipato kikubwa au cha uhakika
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kwa Huseein Mwinyi huyo jamaa sijui hayo malezi ameyapata wapi ya kuwa muungwana pamoja na kuwa na cheo kikubwa.

Sijawahi kumsikia kabisa akiongea maneno ya kujitweza kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Embe halianguki mbali na mti wake na Wala mbuzi hazai Nyoka.

Kijana muungwana mtoto wa kiongozi Muungwana(Ally Hassan Mwinyi).

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ebu pitia upya maelezo niliyoyatoa na kama kuna sehemu haiko sawa edit with red ink ili tujifunze kuliko kusema kwa ujumla.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…