ikipendaroho
JF-Expert Member
- Jul 26, 2015
- 3,903
- 3,856
Amuulize Customs & Excise commisioner contribution ya mapato ya TRA yanayotokana na mitumba!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waulize wachangiaji haya maswali yako maana mimi ndiye nimepandisha huu uzi, naamini ukifuatilia kutoka no 1 hadi sasa ya 100+ utapata ABCUmejitahidi kuniqoute kila mara lakini sioni logic yeyote ya quotations zako.
Please be specific,what is wrong?
Is he right or wrong? na kama hayuko sawa nini suluhisho?
Maoni yako yamesimamia wapi ili tujadili kwa kina.?
JF ni sehemu huru ya kujadili ilimradi tusivunje sheria za nchi na wengine wapate kujifunza sio busara kufumbafumba facts.
Kama ataki kurudi bungeni azuie mitumba
Umemnukuu vibayaWaulize wachangiaji haya maswali yako maana mimi ndiye nimepandisha huu uzi, naamini ukifuatilia kutoka no 1 hadi sasa ya 100+ utapata ABC
Sent using Jamii Forums mobile app
Jaza ujazwe!!!Aendelee kuimba mashahiri huu ndiyo muda wake.
Yani leo Zungu ni wa kusema mitumba ni uchafu kwenye mazingira?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo ataondoka hivyo hivyo? Kazi basi.
Umemnukuu vibaya
Kwasababu ni mstaarabu, pia hajakulia kwenye shida na umaskini that's only.Mkuu kwa Huseein Mwinyi huyo jamaa sijui hayo malezi ameyapata wapi ya kuwa muungwana pamoja na kuwa na cheo kikubwa.
Sijawahi kumsikia kabisa akiongea maneno ya kujitweza kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa rafiki kama wewe ni mtoa mada unataka wachangiaji wafuate mawazo yako tu?Umevimbiwa kimpumu wewe siyo bure, yaani nyeupe unataka isomeke nyeusi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna fedheha kwenye kuvaa nguo za mitumba kama ambavyo hakuna fedheha kwenye kununua gari ya mtumba kutoka be foward.....it's all about perceptions and mindsets...Mitumba sio nguo tu,kuna Magari,vyombo/ vifaa vya umeme,vifaa vya kutumia majumbani/jikoni,viatu,mikanda,mikoba,midori,baskeli n.k
Ni vizuri uwepo utaratibu wa grades za mitumba hasa nguo ili zisiletwe zilizochakaa (grade za mwisho) na kama zitakuwepo kwenye marobota utengenezwe utaratibu wa kuzichoma.
Mbali na kutoa ajira kwa vijana (utajiri) nchini,mitumba imewafirisi vijana wengi na kusababisha wengine kuuza grades za mwisho zisizofaa kwa wananchi ili warejeshe mitaji yao.
Ni fedheha kuvaa mitumba,ingawa inasaidia kubana matumizi ya gharama za maisha kwani sio wote wenye uwezo wa kununua vitu vipya vyenye ubora wa nguo za mitumba kiupya kutokana na gharama kubwa.
mfano nguo za watoto hasa kuanzia umri wa1day-15yrs.
Kupigwa marufuku nguo za mitumba kutapingana na agizo la Mh.Rais la kuhimiza Watanzania kuzaana na kuongezeka ili uchumi tupate soko la bidhaa,otherwise mkakati madhubuti wa kufufua viwanda vya nguo mpya zinazoendana na ubora wa nguo za mitumba kiupya wake kabla ya kuwa mitumba uzingatiwe.
Sambamba na hivyo mkakati mahsusi wa uanzishwaji wa vazi la Taifa nao uendane na hatua za ama kuondoa/kupunguza nguo za mitumba ili Watanzania watu wazima waone fahari ya kuvaa vazi la nchi yao kuliko kukimbilia uvaaji ambao unaruhusu uagizaji wa nguo za mitumba.(provisional of public dress codes)
Stupid.Nikushukuru sana Rais kwa kuniamini na kuniteua kuwa Waziri, wakati nakuja Watu waliniuliza utavaa nguo zako za mitumba au utavaa kitu kipya, lakini leo nimetia suti mpya, maana hata hiyo mitumba ni sehemu ya mazingira na ni sehemu ambayo inachafua hadhi ya Nchi yetu.
Rais Magufuli umefanikiwa sana kupiga vita mifuko ya Plastic, lakini sasa mifuko hiyo inarudi kwa njia za pembeni, vifungashio (packages) sasa vinaboreshwa na Watu wanabebea vitu na kuharibu mazingira, watu wa NEMC tuulize kwanini vitu hivi viko mitaani, nitalifanyia kazi.
Kwa Watu wa Wizarani (Muungano na Mazingira) urafiki upo lakini kwenye kazi za Umma hatutofanya urafiki, tukikutana nje ya kazi za Umma tutaendelea na Urafiki wetu.
Amakweli mwenye shibe kamwe hamjui mwenye njaaa sasa tusubiri mapya ya kupiga marufuku mitumba.
Sent using Jamii Forums mobile app
H.Mwinyi kwa kweli kama kuisimamia ile Wizara miaka yote ameweza vitu vingi sana,anapendwa sana na wazee chomboni,Mzee Mwinyi aliwalea vizuri sana wale watoto wake,yupo na mwingine alikuwa Bunge la Afrika Mashariki ni kama ndugu yake tu huyu H.Mwinyi kwa tabia zao.Very Humble.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa, na hawa waliowauzia I'd wanweka mbao zao barabarani hawachafui....?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa rafiki kama wewe ni mtoa mada unataka wachangiaji wafuate mawazo yako tu?
Toa mada acha watu wachangie wanavyoona wao kwa mitazamo yao.
Ok, sawa ebu tukufuate unavyotaka sasa,issue yenyewe ni ndogo unataka kuikuza.
Kwa taarifa yako hakuna atayeweza kuzuia biashara ya mitumba bila utaratibu endelevu wa kuwasidia wanyonge wanaotafuta ridhiki kupitia biashara hiyo.
Upo.......!!!!!!
Sisi huku kanda ya Ziwa hakuna hicho kinachoitwa Kimpumu,sielewi umeingizaje Kimpumu kwenye hoja ya msingi.
Na kwa ufupi mnapokuwa mnaanzisha mada muwe wavumilivu na wenye kutumia busara katika majibu ya watu kwa hoja zenu.