Under-cover
JF-Expert Member
- Nov 13, 2023
- 1,834
- 3,042
- Thread starter
-
- #21
π π€£π€£π€£ukimchoka mtu mchane πππΎββοΈ
kwahiyo mimi nimewachoka wa tz wenzangu auπ€£π€£ukimchoka mtu mchane πππΎββοΈ
Kwamba ukitaka kumpigia mtu huku una taarifa ya dharura, kama hana bando, ulazimike kumtumia pesa ya vocha kwanza halafu ndo umpigie?! Na kama ni usiku, huna balance ya pesa kwenye simu na hakuna wakala, imekula kwako!!Napeleka wazo kwa mama kuwa
Inatakiwa anayepokea simu naye anatakiwa awe na salio ili kuweza kupokea.
Tutaboresha uchumi.
π
Uko wapi nakupigia twende.Itapendeza zaidi.
ππ Kama hamtutaki semeni tuNapeleka wazo kwa mama kuwa
Inatakiwa anayepokea simu naye anatakiwa awe na salio ili kuweza kupokea.
Tutaboresha uchumi.
π
Nafikiri kwamba wewe ni kijana mdogo sana. Miaka ya tisini ya Kati, nikiwa natumia simu ya Siemens C35 na line ya Tritel, kama huna Salio hiwezi kupokea simu. Maisha ni kusonga mbele sio kurudi nyuma, kurudi nyuma kimaisha ni kukosa ubunifuNapeleka wazo kwa mama kuwa
Inatakiwa anayepokea simu naye anatakiwa awe na salio ili kuweza kupokea.
Tutaboresha uchumi.
π
Gen z ni kuanzia mwaka gan mkuuπinaonekana umemaliza kulipa deni la nipigetafu sio bure!
...
hayo mambo yalikuepo enzi hizo yakafutwa itakuwa we ni gen-z au gen-alpha nini
Naona irudi tu mkuu.Nafikiri kwamba wewe ni kijana mdogo sana. Miaka ya tisini ya Kati, nikiwa natumia simu ya Siemens C35 na line ya Tritel, kama huna Salio hiwezi kupokea simu. Maisha ni kusonga mbele sio kurudi nyuma, kurudi nyuma kimaisha ni kukosa ubunifu
Mkuu nina mchango mkubwa sana kitaifa just wait.π π€£Hawa ndio vijana wanao tegemewa kulijenga hili taifa.
Hakika bado tuna safari ndefu sana. Hapo ushashiba Dona na Sangara unaona umetoa bonge la hoja.
Hamieni burundiπππ Kama hamtutaki semeni tu
Wazo lime sound sio madameee
hahahaha msamehe mkuuHawa ndio vijana wanao tegemewa kulijenga hili taifa.
Hakika bado tuna safari ndefu sana. Hapo ushashiba Dona na Sangara unaona umetoa bonge la hoja.
Wazo lime sound sio madameee
Wewe unaweza kurudi tumboni mwa mama Yako?Naona irudi tu mkuu.