Wazo: Anayepokea simu naye anatakiwa kuwa na salio

1737089181289.jpg
 
Napeleka wazo kwa mama kuwa
Inatakiwa anayepokea simu naye anatakiwa awe na salio ili kuweza kupokea.
Tutaboresha uchumi.
😅
Kwamba ukitaka kumpigia mtu huku una taarifa ya dharura, kama hana bando, ulazimike kumtumia pesa ya vocha kwanza halafu ndo umpigie?! Na kama ni usiku, huna balance ya pesa kwenye simu na hakuna wakala, imekula kwako!!

Wahenga waliona mbali:-
"Kenge hasikii hadi damu imtoke masikioni kwanza.."
 
Napeleka wazo kwa mama kuwa
Inatakiwa anayepokea simu naye anatakiwa awe na salio ili kuweza kupokea.
Tutaboresha uchumi.
😅
Nafikiri kwamba wewe ni kijana mdogo sana. Miaka ya tisini ya Kati, nikiwa natumia simu ya Siemens C35 na line ya Tritel, kama huna Salio hiwezi kupokea simu. Maisha ni kusonga mbele sio kurudi nyuma, kurudi nyuma kimaisha ni kukosa ubunifu
 
Naona irudi tu mkuu.
 
Back
Top Bottom