Simba mundu
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 767
- 1,058
Ili nalo kaliangalieniNapeleka wazo kwa mama kuwa
Inatakiwa anayepokea simu naye anatakiwa awe na salio ili kuweza kupokea.
Tutaboresha uchumi.
π
1997-2009Gen z ni kuanzia mwaka gan mkuu
Tajiri wa jf na wewe umo.Wazo linafilisi
Haaha1997-2009
madhara ya kunywa KIMPUMU!!Napeleka wazo kwa mama kuwa
Inatakiwa anayepokea simu naye anatakiwa awe na salio ili kuweza kupokea.
Tutaboresha uchumi.
π
Sawa mkuuIli nalo kaliangalieni
π π , wata tafta namna ila lazima lipitishwe.Hawataniwi hawa. Soon utamuona Bw. Madelu na scarf yake anakuja na wazo hili.
ebu weka emoji ya kucheka kuna kitu nataka nione mkuu hahahTuoneane huruma [emoji849]
Hahaha.Tuoneane huruma [emoji849]
Hiyo ilikuwa zaman enzi vicha inaitwa dola.Napeleka wazo kwa mama kuwa
Inatakiwa anayepokea simu naye anatakiwa awe na salio ili kuweza kupokea.
Tutaboresha uchumi.
π
Wazo la kijinga sana hili na umewaza ukiwa umepewa bando la bure.Napeleka wazo kwa mama kuwa
Inatakiwa anayepokea simu naye anatakiwa awe na salio ili kuweza kupokea.
Tutaboresha uchumi.
π
au ndio #PamojatunawezaWee nae ebu tuache uko
mtuue tu hakuna namna ,, sikumbuki nmeeka vocha lin,,hiz mb ni za ofa,afu unasemaje weweππkwahiyo mimi nimewachoka wa tz wenzangu auπ€£π€£
Unataka kusema wenye magari tuu ndo waruhusiwe kupanda magari ya wengine siyo?Napeleka wazo kwa mama kuwa
Inatakiwa anayepokea simu naye anatakiwa awe na salio ili kuweza kupokea.
Tutaboresha uchumi.
π
Kwani lazima kupokea unaiacha inaita mpaka inakataNapeleka wazo kwa mama kuwa
Inatakiwa anayepokea simu naye anatakiwa awe na salio ili kuweza kupokea.
Tutaboresha uchumi.
π
Twende kwa mama utalamba uteuzi.mtuue tu hakuna namna ,, sikumbuki nmeeka vocha lin,,hiz mb ni za ofa,afu unasemaje weweππ
Sasa uta bebika vipi na soulmate wako mkiwa far?Kwani lazima kupokea unaiacha inaita mpaka inakata