Wazo: Eneo la Makaburi ya Viongozi na Mashujaa ya Kitaifa Haliko Tayari Dodoma?

Mkapa muache aende Mtwara. Tutaanza na JPM.
 
Seriously! Hizo ndio trivialities tunaziongeaga humu mara kwa mara . Who cares wanazikwa wapi! Hata waki wa-dissolve kwenye mapipa ya acid, poa tu.
 
makaburi siyo ishu wee mzee la msingi tuwe na kumbukumbu halisi za vifo vyao mfano vitabu na movie zikiwa na udhamini wa serikali siyo kumbukumbu za kufichaficha mfano kila Rupia, Sykes,kimario n.k na hasa mchango wao manake kijana wa 95 ukimuliza Bibi Titi sidhani Kama hata anamjua
 
Hili ni wazo langu. serikali ingetafuta eneo moja la kuzikia marais wataafu. Hili eneo pia linaweza kutumika kama utalii pia.
 
We mchimba makaburi kafungulie uzi wako jehanam.
 
Sawa ila naona mpoozo fulani si kawaida kwa raia
Raia wamevurugwa na maisha kuliko kawaida, ndio maana hata siasa sijui hamasa za Mambo mengi ni kimya kizito
 
Hili ni wazo langu. serikali ingetafuta eneo moja la kuzikia marais wataafu. Hili eneo pia linaweza kutumika kama utalii pia.
lilikuwepo pale dodoma,magufuli amewapa wananchi mwaka jana au mwaka juzi hivi
 


Hakuna kiongozi anayetaka kuzikwa mahali ambako hakuzaliwa. Hii tabia ya kuanza kujenga makaburi ya viongozi tuwaachie wenye utaratibu huo. Turidhike na utaratibu wetu.
 
Taifa lisilo na Mashujaa ni taifa lisilo na kumbukumbu...na kinyume chake ni kweli...
Kumbukumbu zipo mkuu. Nenda Iringa Mkwawa ana sehemu yake au Butiama alipozikwa Mwl. JKN. au alipozikwa Sokoine tec. Mawazo yangu huu utaratibu tulionao ni mzuri sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…