Wazo Fupi: Kama Rais Samia hakueleweka basi haeleweki na haelekei kueleweka

Keshasema yeye ni mama!
 
NAONA WAIMBA KWAYA TUH HAPO PEKEE WAMEKULA KIAPO,MPO KIMYAAA SIWASKII..BASI MNGEONA WAISLMA HAPO ZINGEJAA WARAKA KILA SEHEMU
 
Akiamua ataeleweka vizuri tu maana yeye ndiye aliyeshika mpini !πŸ™
 
Magufuli alikuwa mpiga kelele tu kwa wasio washikaji zake.Genge lake walikuwa wanapiga rasilimali za nchi kama kawa
Halafu kuwa mkali mkali sio kipimo cha utendaji
Kikwete alikuwa anatabasamu na mambo mengi kayafanya ya kimaendeleo
Stop overrating that dead-man
 
Mtu wa kuwanyoosha na kuitengenezaa hii nchi, ni mtu mfano wa Magufuli tu!
 
Rais kama demu tu na yeye ni demu tu so hakuna maajabu

Hata kama tunamkosoa Rais, ni muhimu kutumia lugha ya staha. Yule, kwa umri wake, ni mama. Huenda wewe, kwa umri wako ni kama mwanae. Lakini zaidi ya hayo, ni Rais. Kumwita demu, hata kama asingekuwa ni Rais, siyo sahihi kabisa.
 
URAIS BILA UKALI UWAJIBIKAJI NI ZERO.TUMERUDI KWA KASI NYUMA UWAJIBIKAJI UMEKUWA ZERO.KAULI YA RAIS NI KM MWIMBISHAJI WA KWAYA SHULE YA MSINGI
 
MAPAMBIO YAMEZIDI KWA WAFANYAKAZI WA SERIKALI KWSBB WANAKULA RAHA HAKUNA ANAWAFOKEA AU KUWAJIBISHA NAMBA MOJA AMEKUWA NA SAUTI YA KWANZA (sweet voice) tamu inawafanya wasinzie.MWENDAZAKE alikuwa na sauti ya ukali na hakuwa anataka utani wala mchezo kwa kazi.
 
Hata kama tunamkosoa Rais, ni muhimu kutumia lugha ya staha. Yule, kwa umri wake, ni mama. Huenda wewe, kwa umri wako ni kama mwanae. Lakini zaidi ya hayo, ni Rais. Kumwita demu, hata kama asingekuwa ni Rais, siyo sahihi kabisa.
MKUU ANAKAZI YA WATU AMEKUWA DHAIFU NA LEGELEGE MPAKA ANAUDHI.
 
Chadema huwa ni vinyonga sana ninyi
 
Ukiona mtu analala na mafaili basi kuna muda anaoutumia vibaya akiwa ofisini.
 
Unapoteza muda wako bure kutazamia jambo jema kutoka wa mpumbavu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…