Wazo Fupi: Kama Rais Samia hakueleweka basi haeleweki na haelekei kueleweka

Na. M. M. Mwanakijiji...

Alipozungumza Jana Rais Samia kuhusu kukosa usingizi kunakomkuta kama Rais unaweza kudhani roho ya Magufuli ilimuingia ghafla. Yaani, maneno yake ukiyaweka kwa sauti na ukali wa Magufuli...unaweza Kwanzaa kuwaonea huruma Hawa wakuu wa mikoa.

Nasubiri kuona Nani atakuwa wa kwanza kuanza vikao kuwashtukiza maDC na kukutana na wananchi kutatua kero kabla Makonda hajaenda.

Kuna meseji katuma Rais Samia Jana sijui kama kaeleweka...na si mara ya Kwanzaa namsikia akiwasihi wateule wake waende kutatua matatizo ya wananchi. Ni kama anawabembeleza wasilale..sijui na yeye kaanza kulala na mafaili.

Ila siku akikasirika akawaita tena "pumbavu".. miye nipo. Landa kuna siku itabidi aufanye Umagufuli ili baadhi ya watu wajue kuwa hawakupakwa mafuta watawale tu...nasubiri nione kama atalazimisha wamwelewe...au ataendelea kubembelezana nao maana watu wameanza kumng'ong'a yeye...

Ataeleweka kabla ya 2025?
CAG report iko wapi?
 
Afanye kila awezalo lakini kuiga UKATILI na UNYANG'AU wa Magufuli hapana. Mungu mwenyewe alimuondosha yule dhalimu ili tujipange upya. Ile roho ya kikatili haitakiwi tena miongoni mwetu
 
Kuwa mzinza ni dhambi? Ipi ni dhambi kubwa kati ya kumnanga mzee wa watu tena kwa kumtaja mbele ya wa watanzania umma kuwa ni fisadi na mwizi halafu baadae ukasema ni mtu safi tu anafaa kupewa nchi aongoze?
Tafuta kwenye post zangu zote toka nimejiunga hapa jf kama utakuta namsafisha huyo mzee wako. Sio Kila mtu ni bendera fuata upepo boss.
 
Mwanaume yeyote ambaye atapanga foleni ili kuchagua staili hii ya uongozi binafsi nitamsikitikia saaana labda kama anapiga Hela kupitia udhaifu wa mifumo na taasisi tulizonazo.
Awamu ya sita hakuna taasisi hata moja unayoweza kusema ni taasisi imara! Kuanzia; bunge,mahakama,takukuru,CAG,DPP,TRA,Tanapa,bandari,madini,TRC,Tanesco,Udart taja mpaka keshoo koote huko ni ile push ya magu ndiyo inaishiliaaa!! miaka mitano ijayo chini ya uongozi huu yatabaki "mashimo".
 
Back
Top Bottom