Wazo Fupi: Kama Rais Samia hakueleweka basi haeleweki na haelekei kueleweka

CAG report iko wapi?
 
Afanye kila awezalo lakini kuiga UKATILI na UNYANG'AU wa Magufuli hapana. Mungu mwenyewe alimuondosha yule dhalimu ili tujipange upya. Ile roho ya kikatili haitakiwi tena miongoni mwetu
 
Kuwa mzinza ni dhambi? Ipi ni dhambi kubwa kati ya kumnanga mzee wa watu tena kwa kumtaja mbele ya wa watanzania umma kuwa ni fisadi na mwizi halafu baadae ukasema ni mtu safi tu anafaa kupewa nchi aongoze?
Tafuta kwenye post zangu zote toka nimejiunga hapa jf kama utakuta namsafisha huyo mzee wako. Sio Kila mtu ni bendera fuata upepo boss.
 
Mwanaume yeyote ambaye atapanga foleni ili kuchagua staili hii ya uongozi binafsi nitamsikitikia saaana labda kama anapiga Hela kupitia udhaifu wa mifumo na taasisi tulizonazo.
Awamu ya sita hakuna taasisi hata moja unayoweza kusema ni taasisi imara! Kuanzia; bunge,mahakama,takukuru,CAG,DPP,TRA,Tanapa,bandari,madini,TRC,Tanesco,Udart taja mpaka keshoo koote huko ni ile push ya magu ndiyo inaishiliaaa!! miaka mitano ijayo chini ya uongozi huu yatabaki "mashimo".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…