Hakika rede inawatoshaAu wajikite kwenye rede na michezo ya nyumbani kama vile kuosha vyombo, kupika, kulea watoto na mume π
Ili muangalie pichu zao wakiwa wanaruka na kujiachia.Hakika rede inawatosha
Rede kwa mwanaume ni kwa ajili ya kuangalia pichu za mamanzi peke yake.Hujawahi ona wanaume wakicheza rede wewe
Mimi nafikiri ingekuwa na maana zaidi wanawake wajikite kwenye michezo kama Netball(mpira wa mikono), Tennis, kuogelea na mingine ambayo wangeweza kufanya vizuri na kupewa umuhimu zaidi.
Bila kuwa mdada kwanza na kuleta mrejesho huu uzi ni batiliHuwa naona michezo ya mpira wa miguu ya timu za wanawake na ngumi inayohusisha wanawake kama haina mvuto mkubwa sana kwa watu wengi...
Umenikumbusha rede nikiwa mdogo ππ nilikua napenda kuwa matazamaji wa huu mchezo mnoπHujawahi ona wanaume wakicheza rede wewe
Kuna mtu aliwahi kusema hivi pia sikuwahi kumwelewa,. Unaweza kutufafanulia zaidi kiongozi??Mchezo wa mpira kwa wanawake ni mpango wa haki sawa na zaidi sana umebase ku promote usagaji
na madem nao wanajifunua makusudiRede kwa mwanaume ni kwa ajili ya kuangalia pichu za mamanzi peke yake.
Kipindi kile tupo watoto hatukuwa serious na rede kama rede,ila kuchunguza mademu.
Ni mazoea tu toka enzi na enzi. Tumehubiriwa kazi, michezo, mavazi, etc kati ya two sexes. Vizazi vijavyo ,wanaozaliwa leo wakikuta wanawake katika michezo hiyo hawataona distinction! Ni sawa na ushogo, tunaona ni ushenzi kwa vile tumezaliwa tukiambiwa hivyo kila dakika kuwa ni dhambi, Mungu hapendi, jamii haipendi, tukachukia ushoga. Vizazi vijavyo after say 500 yrs kitakuwa kitu cha kawaida!Huwa naona michezo ya mpira wa miguu ya timu za wanawake na ngumi inayohusisha wanawake kama haina mvuto mkubwa sana kwa watu wengi.
Hili suala lisichukuliwe kama ni ubaguzi wa kijinsia kwa sababu hata wengi wa wanawake wenyewe wanavutiwa zaidi na timu za mpira wa kiume kuliko timu zao.
Mimi nafikiri ingekuwa na maana zaidi wanawake wajikite kwenye michezo kama Netball(mpira wa mikono), Tennis, kuogelea na mingine ambayo wangeweza kufanya vizuri na kupewa umuhimu zaidi. Hii mingine kama soka, ngumi na mieleka wangewaachia wanaume tu.
Umenikumbusha rede nikiwa mdogo ππ nilikua napenda kuwa matazamaji wa huu mchezo mnoπ
Ukiangalia rede kuna uhakika wa kuona chupiπ€£Je jee uliishia tu kupenda kuwa mtazamaji? Sema ukweli nikupe zawadi. π
Sisi tunaocheza Aikido na Wu-Shu tufanyeje?πππ