Wazo fyatu: Kuna michezo ingewafaa wanawake zaidi na mengine ingebaki ya wanaume tu

Wazo fyatu: Kuna michezo ingewafaa wanawake zaidi na mengine ingebaki ya wanaume tu

Ni mazoea tu toka enzi na enzi. Tumehubiriwa kazi, michezo, mavazi, etc kati ya two sexes. Vizazi vijavyo ,wanaozaliwa leo wakikuta wanawake katika michezo hiyo hawataona distinction! Ni sawa na ushogo, tunaona ni ushenzi kwa vile tumezaliwa tukiambiwa hivyo kila dakika kuwa ni dhambi, Mungu hapendi, jamii haipendi, tukachukia ushoga. Vizazi vijavyo after say 500 yrs kitakuwa kitu cha kawaida!
Tumehubiriwa lakini pia kuna vitu vimekuja naturally, mpaka sasa ni vigumu wanawake kupigana vitani mstari wa mbali, kuwa makomando, kupasua mawe, kuchimba madini, kuwa majambazi n.k
 
Back
Top Bottom