Wazo Fyatu: Serikali Ikubali kula Hasara

Sasa sijui kwa nini umeona heri uliweke hivyo hilo jambo, ambavyo limekuwa "fyatu" kweli kweli kama ulivyopendekeza.

Kwa nini serikali isianze na kuacha tabia za kubambikizia watu kesi na kuondoa aibu unayosema itawakabili kwenye kesi kama hizi!

Vyombo vya uchunguzi na takataka nyingine zinazohitajika vipo, ila badala ya kufanya kazi wanazotakiwa kuzifanya, wamegeuzwa kuwa vyombo vya kuondoa haki za watu!
 
Mzee siku hizi maada zako zote umekomalia kesi ya mbowe umegundua kuna mapungufu mengi nini
 
Leo umerejewa na utimamu wako
 
kesi ifutwe kwa saabu ya kelele za mtandaoni?
I we running the Government kwa kelele za mtandaoni?
kesi ifutwe kwa saabu ya kelele za mtandaoni?
I we running the Government kwa kelele za mtandaoni?
Kudisco chuo ilikuwa halali kwa kweli, hapa umeandika nini?
Sikushangaa hata Ile siku uliyosema what is your my name? Ukimuuliza yule mgeni kutoka ANC South Africa walipotembelea Lumumba
 
Kama ilivyo kwenye uchaguzi ndivyo itakavyokuwa kwenye kesi, kama hauridhiki kata rufaa.
Tulishuhudia mawakili wa serikali wakiwa hawako makini kwa sababu wanajua matokeo, usishindane na aliyeshika mpini huku wewe umeshika makali.
 
Pia uwaambie waache mara moja kutumia vibaya majina ya watu! Neno GAIDI siyo la kumuita tu kila mtu.
 
Ya ipitieli mbona walikubali na bado kuna kuilipa standard chartered bank Malaysia
 
Mkuu Mzee mwenzangu Mzee Mwanakijiji, kwanza asante kwa kuileta hoja hii fikirishi. Pili naunga mkono hoja, ila naomba kuuliza maswali machache.
  1. Neno "hadi pale serikali itakuwa na mfumo", does this mean kwa sasa serikali yetu haina mfumo?.
  2. Neno " Hadi pale serikali yetu itakapokuwa na vyombo vizuri vinanyoweza kuchunguza, kupeleleza na kuleta mashitaka yanayoweza kusimama mahakamani ", does this means kwa sasa serikali haina hivyo vyombo vizuri vinavyoweza kufanya uchunguzi, kupeleleza na kusimama mahakamani hatuna?.
  3. Huu ushauri wako " ni bora kuachana na kesi zisizoweza kushinda" jee ni ushauri wako, au umemuiga Mama Sa100?.
Asante.
P
 
Taratibu ushaanza kurejesha akili zako!
Lakini kwanini mtu uwe ndumilakuwili??
 
Nashukuru haya maswali mmeulizana wenyewe kwa wenyewe! Ukweli wote tunaoujua mnaujua!
Majibu tafadhali! Mzee Mwanakijiji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…