Wazo Gomvi: Kabla ya Kujitoa CHADEMA Ingeeleza Hili Kwanza...

Viongozi wa juu wapo bize kutafuna ruzuku
Niliwahi kuchangia humu,nikauliza john mrema ,mkurugenzi wa halmashauri na bunge amejikita tu ufipa kusubiri apige ruzuku,huku wagombea hata kujaza fomu hawajui
Uongo utakusaidia nini ?
 
Dah!usiwakumbushe watu machungu aisee,Mbowe amekaa mahabusu miezi mingapi vile?mpaka xmass na mwaka mpya alivionea mahabusu kwa kesi za kijinga za uchaguzi na bado yeye na uongozi karibia wote wa juu wana kesi inaendelea eti unashauri chadema haikuwa na vijana wa kukomalia watendaji!?ili wapewe kesi za kuvuruga uchaguzi na uhujumu uchumi?wameshajitoa,maelekezo waliyopewa watendaji walivyoitwa ikulu tumeona matokeo yake maana hatukuwahi kushuhudia vioja kama hivi kabla,endeleeni tu na ushindi wa kishindo.
 
Unajitahidi kutetea dhambi. Hata ufanyaje Dhambi ni Dhambi tu. Mnaabudu mtu mpaka anafanya dhambi mnajifanya hamzioni. Zee mwanakijiji limekuwa jinga. Na atakapo endelea baada ya 2025.uendelee kumsapoti kama unavyosapoti hii dhambi
 
Mzee mwanakijiji ana Pepo mchafu si bure
 
Umelinganisha na mwaka 2014,?
 
Ningejua kiwango chako cha elimu ningekulaumu. Any way unao Uhuru wa kutoa mawazo yako.
 
Yaani Tanzania nzima unataka utueleze leo mfano Dar pekee mitaa zaidi ya mia tano 28 tu ndiyo wameweza kujaza form vizuri. Yaani Chadema tu ndiyo hawajui kujaza form!! tumefika mbali sana hata wale niliowahi kuheshimu nakala zao ni pumba tu
Umeona hata fomu Moja iliyojazwa kwa usahihi na ikakataliwa?
 
Siku hizi akili uliyonayo inatosha kujua kilipo kitanda tu
 
Hata wangefanya kitu gani, kama lengo ni kuwaengua bado wangeenguliwa tu, ingeshindikana kwa fomu basi ingekuwa kwa wizi wa kura. Jifunze chaguzi za marudio za Ubunge zilivyokuwa.
 
Mzee Mwanakijiji chaguzi zilikuwepo miaka ya nyuma lakini si kwa uhuni huu. Watendaji wamefunga office watu wamekesha kusubiri office zifunguliwe sasa hapo upinzani wana mapungufu gani
Kwa nini haikutolewa semina endelevu kwa kila chama namna ya kujaza fomu.
Hivi unataka kutuaminisha chaguzi za nyuma ukiandika CHADEMA badala ya Chama cha Demokrasia....... walienguliwa?
Mkuu let's be realistic tusishabikie uonevu wa kiwango hiki tutaumia sote
Vyama vyote vina mapungufu mengi tu lakini HAKI ni ya lazima
Kwa hivi waliopita wamejaza fomu vizuri?
***Tuogope kukutana ng'ambo ile
 
Umeona hata fomu Moja iliyojazwa kwa usahihi na ikakataliwa?
Ukijibiwa Ndio utataka kuona na nakala ya hiyo fomu au?

Elewa Kwamba Wapo wapinzani walijaza kwa usahihi tena chini ya usaidizi/muongozo wa viongozi wao wa ngazi mbali mbali na bado wameenguliwa kwa sababu za kipuuzi tu.

Na wakati huo huo wanaCCM Wamekosea more than 5 times lakini walibadilishiwa form wakajaza tena na tena.

Tuache Ubishi na Ujuaji mwingi kwenye mambo yanayogusa haki ya wengine.
 
Umejibu kiusahihi kabisa. Asitupotezee muda akiwa hajui yaliyoko field ambako ukigeukia kushoto unaambiwa umekosea ni kulia, ukiandika Chadema unakuwa umeandika kifupi hakuna chama hicho lakini CCM kipo. Ni ujinga na upunguani tuu ndio maana tunasema hawa watendaji ingekuwa kule Ivory Coast wangekatwa viganja vyao na kubaki vilema.
 
Chadema ilifeli tangu ilipobadili katiba kumruhusu Mbowe awe Mwenyekiti wa kudumu na ilikuja kujizika 2015 baada ya kumkaribisha Lowasa
Napa na nakama walisema tumekabidhi nchi kwa mshamba,au hukusikia??
 
Huyu Mzee Mwanakijiji enzi zile ulikuwa unatoa makala za maana kwenye gazeti fulani. Ila siku hizi unakosa utashi wa kusimamia yaliyo kweli.
Ccm wamebaki wenyewe wapite bila kupingwa.
 
Mleta mada ni miongoni mwa watu wanaojidhalilisha sana humu JF. Anajifanya haoni uhuni na upumbavu unaofanywa na maCCM. Siku hizi anaandika upupu mtupu.

Bahati mbaya ni mtu ninayemfahamu kwa jina, sura na tabia. Ninamdharau sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…