Wazo Gomvi: Kabla ya Kujitoa CHADEMA Ingeeleza Hili Kwanza...

Kwahiyo mzee mwanakijiji unataka utuaminishe kwamba wagombe wa lumumba ote hawakuwezi kukosea kwamba wao wanajua kila kipengele hebu kuwa na soni kidogo umeshakua mzee usiwe mzembe wewe
 
tetea book saba ndio unacho weza mambo ya kujenga hoja waachie wenye akili sio wewe tahila
 
Wapinzani wanapigwa ngumi zile zile, kutokea mkono ule ule na mtu yule yule na wao wanalia kilio kile kile kila ngumi inapotua usoni kwao! Mnajisumbua kuwashauri hawa! Hii nchi itakuja kuwekwa sawa na wananchi wenyewe na si watu ambao mindset zao zimeji tune kuwa wapinzani wa kudumu!
 
Mkuu uko kama Mimi huyu jamaa kweli nimeamini kadiri umri unavyoongezeka ndivyo kadri akili inavyorudi nyuma very very stupid yaani anaamini wagombea wa ccm wana uelewa wa hali ya juu hawakosei tena nchi nzima isipokuwa wapinzani,lMwanakijiji unafiki utakuua.
 
Mkuu mrangi,msibani au shereheni mtu akibaki mwenyewe mwenye msiba u sherehe huitwa " MCHAWI" na majirani.
Chama chakavu kinaogopa kusemwa na "majirani" huku wakiwa hawajawakaribisha hao majirani shereheni na zaidi ya kuwapa taarifa kuwa " uwepo wao majirani" hauzuii sherehe kufanyika.
Kwenye msiba kawaida "mchawi" au "mleta msiba" ndiye huwa mpigaji kelele wa kwanza kwa kilio.
Vp mnaogopa kubaki wenyewe

Ova
 
Onesha udhaifu wa hoja

..nadhani ungesaidia zaidi kama ungekuwa NEUTRAL.

..ungeonyesha mapungufu ya pande zote.

..kwa mfano, CDM wamekosea wapi.

..CCM wamekosea wapi.

..SERIKALI inakosea wapi.

..mwisho, ungetoa mapendekezo ya utaratibu mzuri zaidi utakaoepusha matatizo yaliyojitokeza.

NB.

..chaguzi zilizopita cdm walikuwa wanalaumiwa kwa kusubiri mpaka siku ya mwisho kurudisha fomu. Leo naona unawashangaa kwa kurudisha fomu siku tano kabla.
 
Wewe unaleta comed za Chakubanga hapa.
Eti mgombea anaulizwa unafanya kazi gani anasema yeye ni mpambanaji? Kweli? Unaamini huo ujinga Chakubanga aliokuwa anaeleza? kwanza yeye alijuje kuwa kuna wagombea wa CDM ambao walisema kazi yao ni wapambanaji? Ina maana fomu za wagombea wa upinzani zilipelekwa kwa Chakubanga azikague? Hivi uchaguzi wa serikali za mitaa ndio umeanza kufanyika mwaku huu? Haujawahi kufanyika?Ni mpumbavu tu anayeweza kuamini kuwa wagombea wa upinzani sehemu ya kujaza kazi wanazofanya eti waliandika ni wapambanaji!!!
 
Ikifikia hapo huwa inakuwa mbaya sana,ni kama ilivyotokea Misri,sudan...
 

Mzee Mwanakijiji,
Upinzani wa Tanzania ni wa kujitajirisha wapinzani binafsi. Hawana hata chembe ya mkakati wa kuongoza nchi bali kuangalia matumbo yao. Mbowe leo hii kaifilisi Chadema, sasa kiongozi kama huyo ukimpa aongoze nchi itakuwaje? Hatuwezi kurudia makossa yaliyopita ya marais wa kujifunza, Mwinyi, Mkapa na Kikwete. JPM amekata mzizi wa fitina, Tanzania tunaweza tena sana tu. Don't waste your time and money kwa wapinzani wa Tanzania. Zito kajitajirisha kupitia NSSF, Lisu anakwenda kulialia kule marekani kuwachangisha Watanzania masikini aibu!
 

Sawa Mariamu Biriani kwenye ubora wako .
 
wewe mzee unazidi kuwa mjinga kadri siku zinavyozidi kwenda, mbona hujahoji kwann watu walikua wanafunga ofisi? mbona hujahoji kwann walikua wana-edit fomu za wagombea wa upinzani?....


hv huu ndio uchaguzi wa kwanza kufanyika tanzania? mbona 2014 haikua hivi?..... hebu punguza ujinga mzee
 
Naona unahadaa umma, hv kweli watu wakae kusubili hao watendaji cku tatu, nne kweli? Wakae tu pale are
Acha kuhadaa umma mbona hao watendaji vilaza wa ccm waliofunga ofisi hawajachukuliwa hatua? Acha ujinga watu wanahasira bora munyamaze aisee
 
badala ya kusikitika nimeishia kucheka, hasa hii picha. maana kuna bwana mdg kasoma PSPA, ni mwongo mwongo na ni mtendaji wa kata. basi kama nimemwona kajificha ivyo.
 
Nimekuelewa mkuu

Ova
 
Naomba nikizeeka nisiwe pumbavu kama hili! Warudishe fomu kwa nani wakati wapokeaji fomu wamefunga ofisi mwezi mzima? Jinga kabisa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…