Wazo: Je, tunaweza kuifuta form six? Yaani Mwanafunzi akianza form one (Non-stop) aende mpaka form five, alafu anajiunga na chuo?

Alex Muuza Maembe

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2024
Posts
655
Reaction score
1,413
Good Afternoon my dear brothers and sisters out there.

Eti wadau, tunaweza kufuta form six?? Mwanafunzi akianza form one, aende mpaka form five (Non stop) alafu chuo??

Yaani tunaua mitihani ya form four pamoja form six. Mtihani mkuu wa Secondary unakuwa mmoja tu wa form five.

Karibu kwa mjadala na pia ninakaribisha Ukosoaji wenye tija (Constructive Criticism) pasipo kutumia lugha za matusi wala kejeli.

Ni mimi,

Alex Muuza Maembe.
======
 
Inawezekana kabisa, na ni wazo zuri naliunga mkono.
 
Kwanini mkuu?? May you please give more elaboration??..
 
Form five akafanye nini tena!?
 
Tunaweza kufuata form five na six ila form four ikawa form six na form two ikawa form four na la Saba. Ikawa form two na la nne ikawa la Saba.
Kwa kuweka mitaala inayo endana na mahitaji yetu .
Mengine ambayo si ya lazima. Yakawekwe jkt ,ambapo kuwe na kambi za kibiashara ,kimkakati ambapo watazalisha na kuexport nje na watakaokuwa jeshini Kwa ajili ya uzalishaji watalipwa mshahara WA mkataba.
 
Ninaheshimu pia wazo lako mkuu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…