Wazo: Je, tunaweza kuifuta form six? Yaani Mwanafunzi akianza form one (Non-stop) aende mpaka form five, alafu anajiunga na chuo?

Kenya wapo sahihi kabisa ...vyuo vyetu wanaingia wa mama na kufanya mambo ya ajabu umri mkubwa wamesha choka shule kutokana na mlolongo mrefu wa elimu...
Primary 8 yrs
Secondary 4 yrs
Chuo....kazi kwisha tatizo ccm ni wapumbavu
Idea nzuri sana hii pia mkuu..
 
Sioni ulazima wa kuwa na form five na six,,,kidato cha nne...wanaofaulu kwa points 7 hadi 15 waande chuo kikuu moja kwa moja,,,,waliopata ufaulu mzuri hadi div 2 wakaanzie certificate>diplm>degree,,,, div 3 and 4 waende veta.
 
Asante kwa mchango wako pia mkuu..
 
Sioni ulazima wa kuwa na form five na six,,,kidato cha nne...wanaofaulu kwa points 7 hadi 15 waande chuo kikuu moja kwa moja,,,,waliopata ufaulu mzuri hadi div 2 wakaanzie certificate>diplm>degree,,,, div 3 and 4 waende veta.
form 5 n 6 n upumbavu
ila kwa mtaala wetu hata aliye faulu form 4 haelewi kitu chochote

elimu yetu ni tia maji tia maji

kwa wazo lako labda mtaalaa wa fm 5 n 6 uongezwe kwenye mtaala wa fm4
 
Mkuu At Calvary umemsoma huyu ndugu yetu hapa??..
Nimemsoma.

Ila anachokizungumzia ni na ambacho kinaanza kuende kutekelezwa kuanzia mwakani. Idadi ya madarasa itakuwa 12 kama alivyoeleza.

Kingine mtu akimaliza form four sio lazima aende A level, anaweza tu kuenda chuo.

Sababu alizozitoa za kuondoa form six hazina mashiko.
 
Kenya wapo sahihi kabisa ...vyuo vyetu wanaingia wa mama na kufanya mambo ya ajabu umri mkubwa wamesha choka shule kutokana na mlolongo mrefu wa elimu...
Primary 8 yrs
Secondary 4 yrs
Chuo....kazi kwisha tatizo ccm ni wapumbavu
Acha kudanganya
 
Ifutwe kwa wanaosoma Arts ila sio kwa wale wazee wa PCM,PCB, CBG ...

Kidogo huwa inawapa mwanga wakifika Chuo kikuu

Waliosoma hizo Kombi wanajua Advance imewasaidiaje baada ya kufika chuo...

Hapa nawazungumzia waliofanikiwa kusoma Course za Sayansi chuoni
Sio kwamba masomo yanafutwa hapana ila kunakuwa na mwendelezo wa mwanafunzi toka ajiunge shule ya upili hadi amalize bila break hapo katikati ya baada ya mtihani wa form four
 
Watoto wangeshia form four akiwa na elimu ya vocational skills mmoja achague kuendeleza hyo vocational skills au kwenda chuo hizi 5 na 6 mmh ni kipoteza muda hasa masomo ya arts
 
form 5 n 6 n upumbavu
ila kwa mtaala wetu hata aliye faulu form 4 haelewi kitu chochote

elimu yetu ni tia maji tia maji

kwa wazo lako labda mtaalaa wa fm 5 n 6 uongezwe kwenye mtaala wa fm4
Ni kweli kabisa kuna shida kubwa kwenye mfumo wa elimu ya O level na haya ni matatizo tunayojitakia kama taifa, uwezo wa kufanya elimu ya O level Iwe bora tunao.
 
MPAKA WAZUNGU WAAMUE. MWAFRIKA HANAGA CONFIDENCE YA KUAMUA.
Cha msingi wewe kama mzazi futa kwa kumpeleka mtoto wako NACTE, mfano CBE au DIT, bagamoyo art college.
Wazazi wengi wakitumia mfumo huu wizara ya elimu itafuta yenyewe.
Form 5,6 ni bure hivyo wazazi wanaona kitonga.
 
form 5 n 6 n upumbavu
ila kwa mtaala wetu hata aliye faulu form 4 haelewi kitu chochote

elimu yetu ni tia maji tia maji

kwa wazo lako labda mtaalaa wa fm 5 n 6 uongezwe kwenye mtaala wa fm4
Kwani vinafaida gani mkuu ? Mtu anaenda kusoma sociology historia inamsaidia nini ?
Yaani huwezi mdundisha mtu maendelro ya jamiii mpaka akasome HGK. Wazungu wachina nao wana huu mfumo ? Tunapoteza rasilimali bila sababu za msingi.
 
MPAKA WAZUNGU WAAMUE. MWAFRIKA HANAGA CONFIDENCE YA KUAMUA.
Cha msingi wewe kama mzazi futa kwa kumpeleka mtoto wako NACTE, mfano CBE au DIT, bagamoyo art college.
Wazazi wengi wakitumia mfumo huu wizara ya elimu itafuta yenyewe.
Form 5,6 ni bure hivyo wazazi wanaona kitonga.
Kwenye ajira wanachukua wenye Dip na cheti cha 6 ndio utajua hii nchi ni nn
 
Ulichoandika hapo. comparison ya Kenya and Tanzania. Kiumri wanakuwa almost sawa, hakuna big difference kama unavyodai
Umesoma nilicho andika na umekielewa ? Minesema umri mkubwa na mlolongo wa mrefu wenye kuchosha ...wanafunzi wa tanzania wanakuwa wamechoka kisaikolojia
 
Baba elimu ya secondary sio kama unavyofikiria ndio wanavyofanya ila sema sasa wanaamua kwamba ukifika form four unapumzika ndio wanapunguza Idadi ya masomo wewe wewe kaka bora ungesema wafute at least form five na six iwage chuo at least japo nayo sikubaliani nayo 😂😂😂
 
Umesoma nilicho andika na umekielewa ? Minesema umri mkubwa na mlolongo wa mrefu wenye kuchosha ...wanafunzi wa tanzania wanakuwa wamechoka kisaikolojia
miaka anayospend shule ni same. Hakuna utofauti
 
Back
Top Bottom