Alex Muuza Maembe
JF-Expert Member
- Dec 13, 2024
- 655
- 1,413
- Thread starter
- #21
Naona mkuu bado yupo kimya..Eleza sababu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona mkuu bado yupo kimya..Eleza sababu
Ninaheshimu pia wazo lako mkuu..Elimu ambayo inahitajika kuwepo zaidi ni ELIMU ya maisha na kujitambua .
MTU akiwa anajitambua kwake Maisha anayaanza akiwa tayari ameshafunga goli moja 1-
Kusoma mambo mengi ambayo haujui wapi ukayatumie kunapoteza muda wa Mwanafunzi.
Hii inapelekea MTU aliyapta A ya history ndo MTU huyo huyo anashindwa kuithamani kesho yake anakuwa mlevi n.k
Tunahangaika Sana with zero benefits.
NILISHA SEMA HAPA KUWA A-LEVEL yote ifutwe .. sema tatizo nchi imejaa viongozi mazuzu ...primary miaka 8 secondary miaka 4 kwisha ...kinacho takiwa kwa primary ni kuwa na primary advance yaani darasa la 7 na la 8 liwe sawa na form 2 ya sasa..Good Afternoon my dear brothers and sisters out there.
Eti wadau, tunaweza kufuta form six?? Mwanafunzi akianza form one, aende mpaka form five (Non stop) alafu chuo??
Yaani tunaua mitihani ya form four pamoja form six. Mtihani wa Secondary unakuwa mmoja tu wa form five.
Karibu kwa mjadala na pia ninakaribisha Ukosoaji wenye tija (Constructive Criticism) pasipo kutumia lugha za matusi wala kejeli.
Ni mimi,
Alex Muuza Maembe.
======
Inawezekana hata hiyo form v isiwepo kabisa mwisho iwe form iv kama majirani zetu kenyaGood Afternoon my dear brothers and sisters out there.
Eti wadau, tunaweza kufuta form six?? Mwanafunzi akianza form one, aende mpaka form five (Non stop) alafu chuo??
Yaani tunaua mitihani ya form four pamoja form six. Mtihani wa Secondary unakuwa mmoja tu wa form five.
Karibu kwa mjadala na pia ninakaribisha Ukosoaji wenye tija (Constructive Criticism) pasipo kutumia lugha za matusi wala kejeli.
Ni mimi,
Alex Muuza Maembe.
======
Sawa mkuu..Inawezekana hata hiyo form v isiwepo kabisa mwisho iwe form iv kama majirani zetu kenya
Hii nimeipenda sana mkuu..2)shule zote za ALevel zingegeuka kuwa O level na kuongeza idadi ya shule.
Hakika umetiririka vema sana mkuu..NILISHA SEMA HAPA KUWA A-LEVEL yote ifutwe .. sema tatizo nchi imejaa viongozi mazuzu ...primary miaka 8 secondary miaka 4 kwisha ...kinacho takiwa kwa primary ni kuwa na primary advance yaani darasa la 7 na la 8 liwe sawa na form 2 ya sasa..
Faida ni ngingi kufanya hivi
1)ingeondoa obwe la kisaikoloji linalo wafanya wanafunzi kuchoka shule kwa kuona kuna A level baada ya kumaliza O level...hivyo wanafunzi wangesoma kwa bidii sana wakijua wakimaliza miaka 4 ya secondary ni Chuo moja kwa moja.
2)shule zote za ALevel zingegeuka kuwa O level na kuongeza idadi ya shule.
3)inge ondoa usumbufu wa wanafunzi kutafuta shule za A level maana zitakuwa hakuna.
⁴)walimu wote wa A level wange jiunga pamoja na O level na kuongeza idadi ya walimu
5)ingepunguza gharama za serikali kwenye mambo ya mitihani kwa kuondoa form 6 ...
Faida ni nyingi sana
Mkuu, mwanafunzi si anafanya mtihani wa jumla kila baada ya mwaka mmoja?? Na mtihani wa Taifa atakutana nao form two pamoja na form five??..Kufuta form six na mitihani ya form four kunaweza kuondoa hatua muhimu za kupima uwezo wa wanafunzi.
Vipi kuhusu kupumzika?Mkuu, mwanafunzi si anafanya mtihani wa jumla kila baada ya mwaka mmoja?? Na mtihani wa Taifa atakutana nao form two pamoja na form five??..
Kenya wanasoma miaka 8 primary. Wao wanapumzika muda gani mkuu??..Pia kufuta ngazi hizo kunaweza kuwaondolea wanafunzi muda wa kupumzika na kuwafanya wakose muda wa kujijenga kiakili na kisaikolojia. Mapumziko ni sehemu muhimu ya safari ya elimu.
Kenya wanapumzikaje wao kwa primary schools??Vipi kuhusu kupumzika?
Sio Sita mkuu bali ni 5Mtu asome miaka7 ya primary + 6 ya secondary mfululizo = miaka 13 kila siku unaenda shuleni. Wangapi wangechoka masomo?
Sifahamu boss wangu, nipe maarifa.Kenya wanapumzikaje wao kwa primary schools??
Nilikua nakaa back bencher enzi hizo 😂!Sio Sita mkuu bali ni 5
7 + 5 = 12.
Primary Schools. Tanzania miaka 7. Kenya miaka 8.Sifahamu boss wangu, nipe maarifa.
Hahahaa Okay. Poa mkuu..Nilikua nakaa back bencher enzi hizo 😂!