Alex Muuza Maembe
JF-Expert Member
- Dec 13, 2024
- 655
- 1,413
- Thread starter
-
- #61
Idea nzuri sana hii pia mkuu..Kenya wapo sahihi kabisa ...vyuo vyetu wanaingia wa mama na kufanya mambo ya ajabu umri mkubwa wamesha choka shule kutokana na mlolongo mrefu wa elimu...
Primary 8 yrs
Secondary 4 yrs
Chuo....kazi kwisha tatizo ccm ni wapumbavu
Asante kwa mchango wako pia mkuu..Sioni ulazima wa kuwa na form five na six,,,kidato cha nne...wanaofaulu kwa points 7 hadi 15 waande chuo kikuu moja kwa moja,,,,waliopata ufaulu mzuri hadi div 2 wakaanzie certificate>diplm>degree,,,, div 3 and 4 waende veta.
form 5 n 6 n upumbavuSioni ulazima wa kuwa na form five na six,,,kidato cha nne...wanaofaulu kwa points 7 hadi 15 waande chuo kikuu moja kwa moja,,,,waliopata ufaulu mzuri hadi div 2 wakaanzie certificate>diplm>degree,,,, div 3 and 4 waende veta.
Nimemsoma.Mkuu At Calvary umemsoma huyu ndugu yetu hapa??..
Acha kudanganyaKenya wapo sahihi kabisa ...vyuo vyetu wanaingia wa mama na kufanya mambo ya ajabu umri mkubwa wamesha choka shule kutokana na mlolongo mrefu wa elimu...
Primary 8 yrs
Secondary 4 yrs
Chuo....kazi kwisha tatizo ccm ni wapumbavu
Nadanganya niniAcha kudanganya
Ulichoandika hapo. comparison ya Kenya and Tanzania. Kiumri wanakuwa almost sawa, hakuna big difference kama unavyodaiNadanganya nini
Sio kwamba masomo yanafutwa hapana ila kunakuwa na mwendelezo wa mwanafunzi toka ajiunge shule ya upili hadi amalize bila break hapo katikati ya baada ya mtihani wa form fourIfutwe kwa wanaosoma Arts ila sio kwa wale wazee wa PCM,PCB, CBG ...
Kidogo huwa inawapa mwanga wakifika Chuo kikuu
Waliosoma hizo Kombi wanajua Advance imewasaidiaje baada ya kufika chuo...
Hapa nawazungumzia waliofanikiwa kusoma Course za Sayansi chuoni
Ninaheshimu mtazamo wako pia mkuu..Watoto wangeshia form four akiwa na elimu ya vocational skills mmoja achague kuendeleza hyo vocational skills au kwenda chuo hizi 5 na 6 mmh ni kipoteza muda hasa masomo ya arts
Ni kweli kabisa kuna shida kubwa kwenye mfumo wa elimu ya O level na haya ni matatizo tunayojitakia kama taifa, uwezo wa kufanya elimu ya O level Iwe bora tunao.form 5 n 6 n upumbavu
ila kwa mtaala wetu hata aliye faulu form 4 haelewi kitu chochote
elimu yetu ni tia maji tia maji
kwa wazo lako labda mtaalaa wa fm 5 n 6 uongezwe kwenye mtaala wa fm4
Kwani vinafaida gani mkuu ? Mtu anaenda kusoma sociology historia inamsaidia nini ?form 5 n 6 n upumbavu
ila kwa mtaala wetu hata aliye faulu form 4 haelewi kitu chochote
elimu yetu ni tia maji tia maji
kwa wazo lako labda mtaalaa wa fm 5 n 6 uongezwe kwenye mtaala wa fm4
Kwenye ajira wanachukua wenye Dip na cheti cha 6 ndio utajua hii nchi ni nnMPAKA WAZUNGU WAAMUE. MWAFRIKA HANAGA CONFIDENCE YA KUAMUA.
Cha msingi wewe kama mzazi futa kwa kumpeleka mtoto wako NACTE, mfano CBE au DIT, bagamoyo art college.
Wazazi wengi wakitumia mfumo huu wizara ya elimu itafuta yenyewe.
Form 5,6 ni bure hivyo wazazi wanaona kitonga.
Umesoma nilicho andika na umekielewa ? Minesema umri mkubwa na mlolongo wa mrefu wenye kuchosha ...wanafunzi wa tanzania wanakuwa wamechoka kisaikolojiaUlichoandika hapo. comparison ya Kenya and Tanzania. Kiumri wanakuwa almost sawa, hakuna big difference kama unavyodai
miaka anayospend shule ni same. Hakuna utofautiUmesoma nilicho andika na umekielewa ? Minesema umri mkubwa na mlolongo wa mrefu wenye kuchosha ...wanafunzi wa tanzania wanakuwa wamechoka kisaikolojia