Johnny Impact
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 5,502
- 9,070
Hongera kwa kutambua hilo. Wewe kama wewe umefanya nini kugundua tiba ya VVU?UWEZO WAKO WA AKILI NI MDOGO SANA ...MAANA UMESHINDWA KUJUA KUWA VVU PIA NI PROJECT YA MABEBERU TENA INA FAIDA KUBWA SANA KWENYE CHUMI ZAO KUMBUKA KUWA UKIMWI AUJAWAI KUMUUA MTU YOYOTE BALI UNACHOCHEA NA KUWEZESHA MAGONJWA MENGINE KUUA MTU NA HAYO MAGONJWA MENGINE KUWA NA NGUVU SANA NA KUSABABISHA MADAWA YA NCHI ZA MABEBERU NA VIFAA TIBA KUWA BIASHARA YENYE FEDHA NYINGI
👊👊Aliyoyasema Mh. Bashe yalilenga Kuheshimu Utu na Uhuru wetu.
Wewe zuzu tumia akili tiba ya vvu ni kuacha uzinzi na ngono zembe pumbafuuu. Tumia akiliHongera kwa kutambua hilo. Wewe kama wewe umefanya nini kugundua tiba ya VVU?
Hahahhaha si kama JPM anawaambia chanzo msitumie coz wazungu hawatupendi.... alafu wakati huo huo yeyr alitumia pacemaker iliyotengenezwa na mzungu huyo huyo wa chanjo!! Sasa sijui alikua anakwepa nini hapo wakati ni yaleyale?Saa nyingine huwa hata naona aibu baadhi ya mambo, unagomea mchele tani kadhaa. Kisha watoto wa nchi nzima huko mashuleni na hospital wanapewa chanjo kwa hisani uliyekataa mchele wake?
We naye empty kabisa, viwanda kuwepo China hakufanyi bidhaa kuwa ya China. IPhone ni ya mmarekani ila inakua assembled na exported kutokea china. Same to madawa yanawekwa viwanda china or India sababu ya cheap labor na investor incentives. Hata hiyo UAE haina bidhaa zake nyingi ni za kutoka China, EU etc yenyewe inakua kama hub tu ya kuuza na kununua bidhaa za masoko ya kimataifa.Hiyo takwimu iko wapi??
Tanzania inaingiza vifaa vingi kutoka
China
India
Pakistan
UAE
Kenya
HUO UTUMWA wa kifikra nani kakuroga
Wewe wa semaAfrika hakuna soko lolote la dawa acha uongo dawa nyingi ni copy kutoka india ambazo ni substandard na nyingi pia ni za misaada
Africa ni maskini wa kutupa nenda marekani uone bei genuine ya dawa ni hatari
Makampuni makubwa kumi ya pharmaceutical mengi yanatoka marekaniMiye naongea facts, wewe unaongea blah blah za vijiweni.
Bei za madawa zipo juu US kwasababu ya matangazo na u-hovyo wa for profit healthcare system. Huo ni ukweli.
Dawa kwa asilimia 90 zinazotumika US zinatengenezwa India, uchina, Israel, Germany na nchi nyingine za Ulaya. Huo ndiyo ukweli.
YNIMWe naye empty kabisa, viwanda kuwepo China hakufanyi bidhaa kuwa ya China. IPhone ni ya mmarekani ila inakua assembled na exported kutokea china. Same to madawa yanawekwa viwanda china or India sababu ya cheap labor na investor incentives. Hata hiyo UAE haina bidhaa zake nyingi ni za kutoka China, EU etc yenyewe inakua kama hub tu ya kuuza na kununua bidhaa za masoko ya kimataifa.
Kama huna elimu ya international trade usichangie, humu sio FB.
Sasa bajeti yetu tu wanatuchangia halafu mnaleta porojo wenye mchele, bure kabisa nyie watu, yaani mwanasiasa anawa hamisha kwenye reli kidogo tu mnajaa jumla.Lazima utakua ni pisi kali mi sijaona mwanaume unakaa kusifia kupewa vya bure!!!
Wanaume wa dar hawa😂😂😂wenzio wanaomba teckologia we unataka chakula asieee
Ninachokicchukia na kisichopendeza Kwa Tanzania Kwa Sasa kuwa na waongo wengi kwenye mitandao hasa tweet vijana wa hovyo wamekuwa wakidanganya na kupeleka sintofahamu Kwa jamii.TCRA kazi imewashinda.hivi ni vitu vingapi vya America tunakula na kunywa? Anyway kuhusu hili Kuna mtu wakuanza nae atueleze anaushahidi gani kuwa Kuna vitu vimewekwa ili kutuharibu.aidha huku mitaani Hali halisi ya Milo mnaijua lakini nyie wataalamu wa bando za jero.watoto wanakula Milo ya hovyo sana yani chakula kikuu ni wali maharage ugari maharage.akibadili ni kunde na mbaazi.Maoni yangu tunawasomi wengi wa kilimo wakae chini watengeneze virutubishi vyetu serikari inunue igawe Kwa kaya masikiniKuna watu wanatembea kwa afya na wameishi maisha marefu sababu ya Wamarekani. Wapo ambao kila mwezi au wiki kadhaa wanaenda kuchukua dawa za ARVs ili kujiongezea Kinga mwilini na kupiga vita magonjwa ambukizi mbalimbali.
Madawa na tiba hizi zimetoka kwa msaada wa watu wa Marekani (na mimi mmojawapo). Ingekuwa wanataka kutupunguza kwa haraka hakuna pazuri kama pale tupapendapo!! Jinsi masikini wetu wanavyopenda kula na kulana, kulala na kulaliana, kutafuna na kutafuniana; maelfu kama siyo mamilioni ya maskini Hawa wangekuwa wamepumzika ahera madukani siku nyingi.
Tuache ufyatu!! Waacheni wazazi au jamii wanaotaka watoto wao wale chakula cha msaada. Tulikula sisi miaka ya themanini na tunashukuru. Wazazi au jamii wasiotaka kula wasilazimishwe. Wazazi wawakataze watoto kula chakula Nicholas. Lakini kuwanyima watoto na wazazi wengine wasio na tatizo na vyakula hivi ni ufyatu . Tukifika mahali kweli tu tunajitegemea kwa chakula tunaweza kukataa kwa sababu ya kutokujiabisha. Sasa hivi msemo wa wahenga "mwenye njaa hana haramu" una ukweli wake.
Nashauri serikali iache hamaki, itulie na kufikiria tena a more balanced approach. Tusiwe wote hamnazo.
Wewe hamnazo na nilazima utakuwa umelipwa na CIA kuleta upuuzi huu JF,si bure.Cha nini hicho chakula,kwani wameambiwa Tanzania ina njaa.Mzazi mwenye akili hawezi kuruhusu mwanae kula masumu na mataka taka hayo.Kama wanawapenda watoto wa kitanzania walete hela serikali inunue chakula cha kitanzania ambacho ina hakika hakijachezewa.Hiyo poisonous concoction hapana.Kuna watu wanatembea kwa afya na wameishi maisha marefu sababu ya Wamarekani. Wapo ambao kila mwezi au wiki kadhaa wanaenda kuchukua dawa za ARVs ili kujiongezea Kinga mwilini na kupiga vita magonjwa ambukizi mbalimbali.
Madawa na tiba hizi zimetoka kwa msaada wa watu wa Marekani (na mimi mmojawapo). Ingekuwa wanataka kutupunguza kwa haraka hakuna pazuri kama pale tupapendapo!! Jinsi masikini wetu wanavyopenda kula na kulana, kulala na kulaliana, kutafuna na kutafuniana; maelfu kama siyo mamilioni ya maskini Hawa wangekuwa wamepumzika ahera madukani siku nyingi.
Tuache ufyatu!! Waacheni wazazi au jamii wanaotaka watoto wao wale chakula cha msaada. Tulikula sisi miaka ya themanini na tunashukuru. Wazazi au jamii wasiotaka kula wasilazimishwe. Wazazi wawakataze watoto kula chakula Nicholas. Lakini kuwanyima watoto na wazazi wengine wasio na tatizo na vyakula hivi ni ufyatu . Tukifika mahali kweli tu tunajitegemea kwa chakula tunaweza kukataa kwa sababu ya kutokujiabisha. Sasa hivi msemo wa wahenga "mwenye njaa hana haramu" una ukweli wake.
Nashauri serikali iache hamaki, itulie na kufikiria tena a more balanced approach. Tusiwe wote hamnazo.