Usipuuze ujumbe huu watu kama hamuhitajiki kwenye jamii isiyostarabika yaani ni sawa ugundue dawa ya Ukimwi halafu ugundulike watakupoteza.Kikubwa tu uwasiliane na mamlaka kwanza ila kwa ambavyo imezoeleka huenda ukawa ndio mwisho wako kuonekana si tu jukwaani bali hata hapa jijini😁
Welcome to Katavi national Park.
Ukitaka kufanya kitu kwenye nchi kama Tanzania usianze kutafuta maoni au kuomba ushauri mitandaoni. Kama unajiamini komaa tafuta mwekezaji kimyakimya anza biashara. Ukitafuta maoni unakutana na watu wenye mawazo negative na ya kimaskini, mtu anakwambia utapotezwa ujikute Katavi!!???,. Kuna watu hata uwaombe ushauri gani wapo Duniani kwa ajili ya kukatisha wengine tamaa. Fanya kitu, ukifeli fanya tena, ukifeli fanya tena au jaribu kingine mpaka utafanikiwa. Ni siri ya matajiri wakubwa wote Duniani.Nina wazo la kutengeneza converter ya umeme kutoka chini ya 10V hadi 250V na angalau 2000W itakayokuwa portable na mfumo wa kujicharge.
Hii itakuwa ni inverter inayoweza kutumika kwa matumizi ya ndani na hata wale biashara za kuhama hama kama machinga nakadhalika pia kwa matumizi ya nyumbani unaweza ku iconnect kwenye wiring ya ndani maana itakuwa na umbo dogo mfano wa laptop.
Pia hii itakuwa msaada mkubwa kwa wapangaji wasiotaka kushare meter moja na mwenye nyumba.
Mradi huu unawezekana kwani nimejifunza vitu vingi kuhusu hii kitu nimewaza kuhusu uzalishaji wa kibiashara naona inalipa kama atapatikana mtu wa kuwekeza kwenye idea hii.
Kuwa makini siasa za Africa hazitaki shida ziishe kwenye jamii, awamu hii wanfunga umeme, inayofuatia wanaharibu magenerator ili kusudi basi tu ionekano kuna kazi ya kufanya..Ndo maisha mkuu tutafanyaje sasa
kabisaUkitaka kufanya kitu kwenye nchi kama Tanzania usianze kutafuta maoni au kuomba ushauri mitandaoni. Kama unajiamini komaa tafuta mwekezaji kimyakimya anza biashara. Ukitafuta maoni unakutana na watu wenye mawazo negative na ya kimaskini, mtu anakwambia utapotezwa ujikute Katavi!!???,. Kuna watu hata uwaombe ushauri gani wapo Duniani kwa ajili ya kukatisha wengine tamaa. Fanya kitu, ukifeli fanya tena, ukifeli fanya tena au jaribu kingine mpaka utafanikiwa. Ni siri ya matajiri wakubwa wote Duniani.
huu uzi haujalenga namna ya kutengeneza hio converter mkuu mbona elimu yako haina msaada na wewe,10v kuwa 250v halafu ichaji tena hiyo 10v battery kanuni za umeme zinakataa nafikr hauna
elimu ya kutosha kuhusu umeme
Ndugu unafahamu physics. Unafahamu kitu kinaitwa conservation of energy?Nina wazo la kutengeneza converter ya umeme kutoka chini ya 10V hadi 250V na angalau 2000W itakayokuwa portable na mfumo wa kujicharge.
Hii itakuwa ni inverter inayoweza kutumika kwa matumizi ya ndani na hata wale biashara za kuhama hama kama machinga nakadhalika pia kwa matumizi ya nyumbani unaweza ku iconnect kwenye wiring ya ndani maana itakuwa na umbo dogo mfano wa laptop.
Pia hii itakuwa msaada mkubwa kwa wapangaji wasiotaka kushare meter moja na mwenye nyumba.
Mradi huu unawezekana kwani nimejifunza vitu vingi kuhusu hii kitu nimewaza kuhusu uzalishaji wa kibiashara naona inalipa kama atapatikana mtu wa kuwekeza kwenye idea hii.
Aliyeelewa hii ana D ngapi? Kwenye masomo ya sayansi?Nina wazo la kutengeneza converter ya umeme kutoka chini ya 10V hadi 250V na angalau 2000W itakayokuwa portable na mfumo wa kujicharge.