Wazo la biashara kutengeneza Umeme binafsi

Wazo la biashara kutengeneza Umeme binafsi

Kikubwa tu uwasiliane na mamlaka kwanza ila kwa ambavyo imezoeleka huenda ukawa ndio mwisho wako kuonekana si tu jukwaani bali hata hapa jijini😁

Welcome to Katavi national Park.
Usipuuze ujumbe huu watu kama hamuhitajiki kwenye jamii isiyostarabika yaani ni sawa ugundue dawa ya Ukimwi halafu ugundulike watakupoteza.
 
Wazo langu
Kutoq cheap energy utakutana na vikwazo sana na kwenye ulimwengu wa nadharia mficho ni kwamba endapo kweli utaweza kutengeneza energy ya bei chee sana,utakua target ya wapiga deal wa umeme na unaweza kuwa eliminated chap sana ili kulinda tech isisambae.
Kuna tetesi kuwa hata gari za umeme hizi ambazo sasa hiv Elon anazipambania inasemekana ziligunduliwa kwenye 1960's ila sasa biashara za watu ilibidi zilindwe kwa gharama yeyote ile.

Chakufanya,tengeneza jambo lako na ukishakuwa na uhakika nalo,badala ya kuwaza kuuzia watu wewe tafuta mtu mwenye kiwanda fanyanaye kazi kumpunguzia gharama za umeme

Hii itamwezesha mmiliki wa kiwanda kuuza bidhaa zake kwa bei ya chini zaidi ya washindani wake sokoni huku akitengeneza faida zaid then akulipe vizuri uendelee kumpa huduma.Pia uendele na utafiti aako ili kukuza tech yako.

Kwenye hili kaka usikae kisayansi sayansi
Kaa kibiashara kaka kwa maslai yako binafsi,ukipata nguvu ndio utaangalia namna ya kusaidia taifa lako
 
Nina wazo la kutengeneza converter ya umeme kutoka chini ya 10V hadi 250V na angalau 2000W itakayokuwa portable na mfumo wa kujicharge.

Hii itakuwa ni inverter inayoweza kutumika kwa matumizi ya ndani na hata wale biashara za kuhama hama kama machinga nakadhalika pia kwa matumizi ya nyumbani unaweza ku iconnect kwenye wiring ya ndani maana itakuwa na umbo dogo mfano wa laptop.

Pia hii itakuwa msaada mkubwa kwa wapangaji wasiotaka kushare meter moja na mwenye nyumba.

Mradi huu unawezekana kwani nimejifunza vitu vingi kuhusu hii kitu nimewaza kuhusu uzalishaji wa kibiashara naona inalipa kama atapatikana mtu wa kuwekeza kwenye idea hii.
Ukitaka kufanya kitu kwenye nchi kama Tanzania usianze kutafuta maoni au kuomba ushauri mitandaoni. Kama unajiamini komaa tafuta mwekezaji kimyakimya anza biashara. Ukitafuta maoni unakutana na watu wenye mawazo negative na ya kimaskini, mtu anakwambia utapotezwa ujikute Katavi!!???,. Kuna watu hata uwaombe ushauri gani wapo Duniani kwa ajili ya kukatisha wengine tamaa. Fanya kitu, ukifeli fanya tena, ukifeli fanya tena au jaribu kingine mpaka utafanikiwa. Ni siri ya matajiri wakubwa wote Duniani.
 
Ndo maisha mkuu tutafanyaje sasa
Kuwa makini siasa za Africa hazitaki shida ziishe kwenye jamii, awamu hii wanfunga umeme, inayofuatia wanaharibu magenerator ili kusudi basi tu ionekano kuna kazi ya kufanya..

This is Africa...
 
Kuwa makini siasa za Africa hazitaki shida ziishe kwenye jamii, awamu hii wanfunga umeme, inayofuatia wanaharibu magenerator ili kusudi basi tu ionekano kuna kazi ya kufanya..

This is Africa...
kweli kbs
 
Ukitaka kufanya kitu kwenye nchi kama Tanzania usianze kutafuta maoni au kuomba ushauri mitandaoni. Kama unajiamini komaa tafuta mwekezaji kimyakimya anza biashara. Ukitafuta maoni unakutana na watu wenye mawazo negative na ya kimaskini, mtu anakwambia utapotezwa ujikute Katavi!!???,. Kuna watu hata uwaombe ushauri gani wapo Duniani kwa ajili ya kukatisha wengine tamaa. Fanya kitu, ukifeli fanya tena, ukifeli fanya tena au jaribu kingine mpaka utafanikiwa. Ni siri ya matajiri wakubwa wote Duniani.
kabisa
 
10v kuwa 250v halafu ichaji tena hiyo 10v battery kanuni za umeme zinakataa nafikr hauna
elimu ya kutosha kuhusu umeme
 
10v kuwa 250v halafu ichaji tena hiyo 10v battery kanuni za umeme zinakataa nafikr hauna
elimu ya kutosha kuhusu umeme
huu uzi haujalenga namna ya kutengeneza hio converter mkuu mbona elimu yako haina msaada na wewe,
hayo yote nimesha yafanyia utafiti
 
Nina wazo la kutengeneza converter ya umeme kutoka chini ya 10V hadi 250V na angalau 2000W itakayokuwa portable na mfumo wa kujicharge.

Hii itakuwa ni inverter inayoweza kutumika kwa matumizi ya ndani na hata wale biashara za kuhama hama kama machinga nakadhalika pia kwa matumizi ya nyumbani unaweza ku iconnect kwenye wiring ya ndani maana itakuwa na umbo dogo mfano wa laptop.

Pia hii itakuwa msaada mkubwa kwa wapangaji wasiotaka kushare meter moja na mwenye nyumba.

Mradi huu unawezekana kwani nimejifunza vitu vingi kuhusu hii kitu nimewaza kuhusu uzalishaji wa kibiashara naona inalipa kama atapatikana mtu wa kuwekeza kwenye idea hii.
Ndugu unafahamu physics. Unafahamu kitu kinaitwa conservation of energy?

Source ya hiyo 25V ni nini? Kifaa kinachotumika kuongeza voltage ni step-up transformer. Nadhani unaposema conveter una maanisha step up transformer.

Kama ni step up transformer basi ujue input power itakuwa sawa na output power. Power = Voltage x Current. Ukiongeza voltage basi current itapungua and vice versa.
Kimsingi unachofikiria hakiwezekani.
 
Ya fanya ubunifu wako kwa siri, mpaka pale .
Nenda kawasaidie wenye viwanda vidogo vidogo kama machine ya kusaga, car wash, shule, vibrator blocks , saloons,bar, hotels,gest house
 
Nina wazo la kutengeneza converter ya umeme kutoka chini ya 10V hadi 250V na angalau 2000W itakayokuwa portable na mfumo wa kujicharge.
Aliyeelewa hii ana D ngapi? Kwenye masomo ya sayansi?
 
Back
Top Bottom