Nazi Ignition
JF-Expert Member
- Jun 3, 2020
- 1,740
- 4,859
Mawazo yete Ni mazuri na faida inaonekana kwenye mawazo,
Kwenye field Sasa kazi ipo
Kwenye field Sasa kazi ipo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio mbolea bora kwasasa duniani na ndio malighafi pekee ambayo inapatikana bureHii ipoje kaka nimeona mbeya IPO ila sikudadis sana
Unafanyaje hii mkuuNdio mbolea bora kwasasa duniani na ndio malighafi pekee ambayo inapatikana bure
Nitakutag kwenye mada husikaUnafanyaje hii mkuu
AsanteNitakutag kwenye mada husika
Asante
www.jamiiforums.com
Hapana wala sijakusuta mkuu ila kweli nitaimic hiyo posho. Si unajua jinsi hela ya posho ilivyo tamu. Hizo zote mbili ni sustainable na ni promising kulingana na country's growth factors.Habar ndugu. Kwanza niwie radhi kwa neno la posho ya kikao limeleta sura ya kujimwambafai na kukosa humbleness, na nimefuta tayar, umenisuta kwa akili.
Pili, naomba idea ambayo ni sustainable. Kwa vile itakuwa kwa mfumo wa kampun uwe shareholder.
ekari 500? Shubhaaaamit watu mko na vision za mbali sanaaaaaNaanza kupanda maharage ekari 500 Simanjiro nategemea kuvuna magunia 1500 minimum baada ya kuhifadhi kwa cost ya 15k kwa gunia ntauza mwezi February kwa 250k kwa gunia. Gharama ya kutunza ekari moja ni 150k. Achana na kuwekeza mijini njoo uvune faida rahisi shambani. BTW Niko Dar ila nalima huko na next week naweka kambi shambani.’
Wazo zuri.Njoo Kigoma nunua tangawizi mbichi kuanzia mwezi wa sita kwa Tshs 400 kwa kilo, kata kwa ajili ya kukausha mpaka mwezi wa Tisa then utaamua uuze kwa kati ya 1500/= mpaka2300/= kwa kilo au subiri mwezi wa pili uuze 3500/= kwa kilo.Huhitaji kusafirisha,leseni wala ushuru wa aina yoyote bali lorry linakufata popote ulipostore mzigo wako. Tangawizi kavu inatafutwa nyumba kwa nyumba na matajiri toka Burundi,Kenya,Rwanda na wenyeji pia wanojua masoko zaidi ndani na nje ya nchi. Wekeza hata million 40 tu utanishukuru badae utakapopata zaidi ya million mia moja ndani ya muda mfupi.Naongea kwa uzoefu mkubwa sana nikiwa eneo husika mpaka sasa na Mali bado inatafutwa kwa kasi ya ajabu sana mpaka Leo.Gharama ni turubai za kuanikia na pesa ya kuwalipa wakataj 4000/= kwa gunia la debe kumi ambalo linabeba zaidi ya kilo 150.mzigo unaletewa popote unapofanyia shughuli zako kwa gharama ya mkulima wewe kazi yako ni kusoma mzani tu. Kipindi hicho tangawizi ni ya kutosha hata ukihitaji tani 100000 unapata ndani ya siku chache tu.
Watu wanapiga pesa si kawaida huku. Fanya research then ukiridhika uamzi ni juu yako.
Yakigoma mwana si Kala hasaraNaanza kupanda maharage ekari 500 Simanjiro nategemea kuvuna magunia 1500 minimum baada ya kuhifadhi kwa cost ya 15k kwa gunia ntauza mwezi February kwa 250k kwa gunia. Gharama ya kutunza ekari moja ni 150k. Achana na kuwekeza mijini njoo uvune faida rahisi shambani. BTW Niko Dar ila nalima huko na next week naweka kambi shambani.’
Sio rahisi kihivyoNenda Morogoro, possibly Mlimba au maeneo mengine yanayolima mchele. Nunua mchele weka stock. Ndani ya miezi kadhaa tu, possibly baada ya miezi sita, hiyo mil 100 itakuwa imegeuka na kuwa mil 300!. Kama sivyo, basi the minimum ni mil 250+
Ubarikiwe
Vp kwa tz kuna viwanda hivyo tupate pa kujifunziaNdio mbolea bora kwasasa duniani na ndio malighafi pekee ambayo inapatikana bure
Aisee bado au pengine vipo Lakini kwa low scaleVp kwa tz kuna viwanda hivyo tupate pa kujifunzia
Mkuu nimependa sana hiyi kitu, mkuu kwa hesabu za haraka inabidi uwe na kiasi gani cha kuanzia na vipi kuhusu wataalamu nitawapata kwa njia ipi?Aisee bado au pengine vipo Lakini kwa low scale
Habari Mkuu;Wadau wanaoamini katika ubia natafuta wazo la biashara na uwekezaji usiozid milion 100.
Nina parameters zangu
1. Mwenye wazo awe shareholder wa biashara yenyewe hata kama hana mtaji wa pesa. Akili ni mtaji mkubwa
2. Biashara iwe ya uzalishaji wa product flani na sio biashara ya kununua na kuuza
3. Uzalishaji uwe dsm hata kama malighafi inatoka popote
4. Bidhaa iwe na faida inayodhirika na sio faida mtambuka. Kuwepo na uhitaji kidogo wa kusimamiana na auditing rahisi
5. Isiwe bidhaa ya msimu wala inayoleta faida kimagumashi. Isilete mgogoro na TRA.
Wazo zuri tutaanza kikao mara moja.
Makaa ya mawe ungedadavua kidogo ingependeza mkuuNgoja nikushauli ujinga ukiona umekosa cha kufanya anzisha mirad ya mashine za kusaga tafuta sehem nzuri iwe kukodi chumba au kujenga kibanda ukifanikiwa kuweka sehem 4 unauhakika wa kulaza kima cha chini laki 6 kwa kila wiki hadi uzeeni kwako na hiyo ni faida tu haina makato wala ushuru
Ukiona hiyo ishu ni pusi njoo tufanye biashara ya makaa ya mawe ruvuma to mwanza au mtwara to kenya toka kukod gar kuyanunua, vibari mpaka kuyapeleka sehem husika itakugharim m2 faida yake ni kama laki nne hivi yaani we ni kupakia mzigo sokoni kutokana na speed yako na mtaji kama unauwezo wa kufikisha sokoni gar tano zenye ujazo wa tan30 basi fanya laki nne mara tano hiyo ni faida kwa siku uliyopeleka soko uhakika kama hujaelewa nitafafanua
Usinisahau hapoNitakutag kwenye mada husika