Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
weka hata kiingilio cha sh mia mbili. sometimes vya bure huwa vinakuwa perceived vibaya na si ajabu watu wasije.
Kama ni Charity project go ahead. Lakini kama ni biashara ya kuingiza faida forget about this. Wanavyuo tu hawasomi library. I mean hawasomi vitabu. Wana soma videsa.
Kama unataka kuendelea na wazo hili fanya yafuatayo.;
1. Weka madesa (maswali na majibu) ya kuanzia darasa la kwanza hadi PhD.
2. Weka sehemu maalum ambapo uta toa huduma ya vinywaji hususani pombe.
3. Weka huduma ya vyumba vya kupumzikia. Watu wakisoma wakianza kusinzia wanaenda short time kulala halafu wanarudi tena.
Hivyo ndo vitu vitavuta wabongo.
Husninyo, belive me, ata ukiweka bure watu hawatajaa, hii sio biashara labda fanya kama huduma.
Na ata pesa za kulipa wafanyakazi mishahara na pango itabidi atafute vyanzo vingine ili visaidie hapo.Yenyewe haitaweza.
Hello Jamii forum members:
Wazo hilo hapo juu nawasilisha kwa ushauri; Mimi nimefanyia ANALYSIS nimeona ni social enterprise nzuri kwa watu wa rika zote; wanafunzi na wasio wanafunzi.
Jambo la msingi nataka project iwe designed kuwafanya watu wote wapendao kujisomea (makundi yote) iwe ndo sehemu yao ya kupata maarifa na kukutania kwa discussion ya masuala yao ya kitaalamu. Itakuwa ni sehemu yenye vitabu vya aina zote kuanzia watoto, shule za msingi, sekondari, vyuo vya kati, vyuo vikuu na General knowledge katika fani za iana zote hapa duniani. Pia kutakuwa na e-library (kwa ajili ya kujitafutia taarifa na elimi mbalimbali).
HIVI NDO NAANDAAA BUSINESS PROPOSAL ( MIMI MWENEYEWE NDO FANI YANGU). KWA MWINGINE YEYOTE ATAWEZA JADILI NAMI KUONA NAMNA ANAVYOWEZA KUNITUMIA MIMI KUANDAA SUCH BUSINESS PLAN KWA AJILI YA KUFANYA IMPLEMENTATION SEHEMU NYINGINE YOYOTE (HASA KWENYE MAJIJI).
VISIT ME AT: KIMI DEVELOPMENT CONSULT LIMITED
Kama una uwezo na unataka kufanya kama msaada kwa jamii, inawezekana. Lakini siyo biashara ya kujiendesha. Hata 10% ya gharama haziwezi kurudi. Ukweli ni kwamba hakuna library duniani ambayo ina jiendeaha kwa faida. Library ni huduma ya jamii. Haina maana uanzishe kitu halafu baadae ugeuke omba omba kukiendeleza.fungua mwaya tena lenga maeneo yaliyo karibu na vyuo. unaweza kuset kias flani cha annual membership fee na kiasi cha wale wanaokuja na kutoka wasiotaka umemba wa muda mrefu. usisahau kuweka magazeti ya kila siku.
usikatishwe tamaa. tunapenda kusoma ila hela za kununua vitabu na majarida hatuna. hiyo itatupunguzia gharama.
Kama una uwezo na unataka kufanya kama msaada kwa jamii, inawezekana. Lakini siyo biashara ya kujiendesha. Hata 10% ya gharama haziwezi kurudi. Ukweli ni kwamba hakuna library duniani ambayo ina jiendeaha kwa faida. Library ni huduma ya jamii. Haina maana uanzishe kitu halafu baadae ugeuke omba omba kukiendeleza.
atahhitaji kama wakutubi wawili, watu wa usafi, umeme, maji na pia mtaji wa vitabu si wa kitoto. vitabu vya maana vinaanzia laki pia huwezi kuweka paperbacks library. na hiyo buku kwa siku ni kama 200,000 kwa mwaka, nani yuko tayari kulipa?. kama ni charity sawa.inaweza sana. kwa mfano kwa kiingilio cha buku daily kwa wateja kumi kwa siku (makadirio ya chini) ana elf 10. kwa mwezi ana tsh 300,000 . wale wateja wataolipia annual fee hela yao ndio itatumika kulipa rent, umeme na other costs.
labda kama mshkaji anataka supernormal profit. ila tu ajue payback period yake lazma itakuwa muda mrefu sana ila baada ya hapo ni maprofit tu.
labda aweke na bookshop.hebu toa majina ya hizo libraries zinazojiendesha kwa hasara. hakuna fursa duniani isiyolipa. swala linabaki kwako namna ya kuifanya ilipe. library inaweza muingizia kiasi cha kuridhisha endapo atakuwa creatv
Vitabu ni ghali sana. Sijui utakuwa na mtaji wa kiasi gani kuweka vitabu vya kila taaluma vya kutosha kwa ngazi zote. It is not a Joke. Mtu mmoja tu unatumia vitabu vya hadi laki 3 kwa semister, hapo ni programme moja tu. Kwa hiyo chances za kuwa na vitabu vya kila aina ni ndogo sana. Utajikuta watu wanakuja hawapati kile wanachotafuta. Trust me labda kama utaweka vitabu vya mkuki na nyota.
Kama ni Charity project go ahead. Lakini kama ni biashara ya kuingiza faida forget about this. Wanavyuo tu hawasomi library. I mean hawasomi vitabu. Wana soma videsa.
Kama unataka kuendelea na wazo hili fanya yafuatayo.;
1. Weka madesa (maswali na majibu) ya kuanzia darasa la kwanza hadi PhD.
2. Weka sehemu maalum ambapo uta toa huduma ya vinywaji hususani pombe.
3. Weka huduma ya vyumba vya kupumzikia. Watu wakisoma wakianza kusinzia wanaenda short time kulala halafu wanarudi tena.
Hivyo ndo vitu vitavuta wabongo.
ndio maana nikasema itachukua muda kurudisha gharama zake za awali. na pia haiwezekani kuweka vitabu vya kila aina. ataweka kulingana na mahitaji ya wateja wake na budget yake.
Hello Jamii forum members:
Wazo hilo hapo juu nawasilisha kwa ushauri; Mimi nimefanyia ANALYSIS nimeona ni social enterprise nzuri kwa watu wa rika zote; wanafunzi na wasio wanafunzi.
Jambo la msingi nataka project iwe designed kuwafanya watu wote wapendao kujisomea (makundi yote) iwe ndo sehemu yao ya kupata maarifa na kukutania kwa discussion ya masuala yao ya kitaalamu. Itakuwa ni sehemu yenye vitabu vya aina zote kuanzia watoto, shule za msingi, sekondari, vyuo vya kati, vyuo vikuu na General knowledge katika fani za iana zote hapa duniani. Pia kutakuwa na e-library (kwa ajili ya kujitafutia taarifa na elimi mbalimbali).
HIVI NDO NAANDAAA BUSINESS PROPOSAL ( MIMI MWENEYEWE NDO FANI YANGU). KWA MWINGINE YEYOTE ATAWEZA JADILI NAMI KUONA NAMNA ANAVYOWEZA KUNITUMIA MIMI KUANDAA SUCH BUSINESS PLAN KWA AJILI YA KUFANYA IMPLEMENTATION SEHEMU NYINGINE YOYOTE (HASA KWENYE MAJIJI).
VISIT ME AT: KIMI DEVELOPMENT CONSULT LIMITED
you've got to be kidding...labda chanzo cha pesa zako ni biashara ya dawa za kulevya au kama utakuwa unapata madili ya kuvujisha mitihani ya shule za msingi na sekondari.
Kafanye utafiti kidogo TLS - Tanzania Library Services. Utajua tuna maanisha nini. Watu wana graduate hawajawahi kuingia Library. Inaonekana huwajui wa TZ wewe. Book allowance wana nywea pombe halafu wanaishia kutoa photocopy videsa.
Kama una uwezo na unataka kufanya kama msaada kwa jamii, inawezekana. Lakini siyo biashara ya kujiendesha. Hata 10% ya gharama haziwezi kurudi. Ukweli ni kwamba hakuna library duniani ambayo ina jiendeaha kwa faida. Library ni huduma ya jamii. Haina maana uanzishe kitu halafu baadae ugeuke omba omba kukiendeleza.
Husninyo, belive me, ata ukiweka bure watu hawatajaa, hii sio biashara labda fanya kama huduma.
Na ata pesa za kulipa wafanyakazi mishahara na pango itabidi atafute vyanzo vingine ili visaidie hapo.Yenyewe haitaweza.
Ni vema mkawa criticizers wa ukweli, sio just criticizing!!! hivi Masonjo BIASHARA ni nini? nini hufanyika katika biashara? kuna biashara ya huduma na bidhaa!!! (goods and services) zote huwa produced kwa mantiki ya PRODUCTION, na zote hufanikishwa kwa vigezo vya Factors of production. Mf Benki zinafanya biashara ya huduma!!!