Wazo la leo: Tumia JF kumjua mwanamke mwenye akili (mke bora)

Ngoja wahamie majukwaa uliyoyabainisha
Hata wakihamia huko watakua na la kuchangia hao wamezoea kujibebisha na '''basi sawa...sa itakuaje...jomooni...basi tyuuuπŸ˜‚πŸ˜‚ ''' Sa mtu wa hivyo hata ukimpeleka site akasimamie mafundi si wanampiga na yeye kakaa hapo hapo hajui hata mfuko mmoja wa cement fundi anatakiwa ajengee tofali ngapi i
 
Nawashauri vijana msome kitabu kinaitwa "The Perfumed Garden" cha Sheikh Nefzawi, kabla hujaowa au kuolewa.
 
Yuko sahihi alichoandika.
Ogopa sana mwanamke mpenda umbea na kuongelea mapenzi kila wakati.
JF kuna mademu wa aina 2.

Kuna wale wako vikundi vikundi,hao umbea na kujibebisha bebisha.Hawa ni wataka ndoa au madanga.Hawa wanasoma upepo wanaume wanalalamikia nini juu ya wanawake then wanajiweka vile wanaume wanapenda.Atajifanya mpole hapa,hata wanaume tuseme kitu chakukandamiza mwanamke hatajitoa kusema ili kulinda image yake ya mke mwema mpole.Hawa wakipatta ndoa ndo hutoa makucha.

Kundi la pili wako kivyao vyao.Ni wanawake wasotaka makundi wala mashosti.i.Hawaogopi kutoa maoni yao.Hawaogopi wanaume watawaona vipi sababu wako hapa kujifunza na kufunza wengine na kwao JF ni sehemu yakupitishia muda baada ya majukumu.Hawajali likes wala quotes.Anaandika anachoamini anasepa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…