Wazo la leo: Tumia JF kumjua mwanamke mwenye akili (mke bora)

Na shida huwa wife material hupata au kuangukia pua anapata (materials husband)[emoji3] usizani ni wanaume tu ndiyo hutaka wife material vile vile wanawake , hakuna anayetaka kuolewa ma mwanaume asiyejitambua, wengine ndugu ndiyo wamuongoze.
 
Watakwambia upuuzi unalipa wengi wanapenda upuuzi upuuzi tu
 
Huu utafiti wako ni feki Mkuu, kwanza humu hakuna Mwanamke ila kuna I'd zenye majina ya kike na avatar tu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Sasa we ulitaka akakae kwenye majukwaa ya kilimo na mtu anaetafuta mke yuko huku kwenye mapenzi....hii formula ni mbovu kuliko unavyoona mkuu,mkewako mara nyingi anatoka maeneo ambayo mwili na macho yako huzuru mara kwa mara,wewe upo Tz unapataje mke toka kenya na hujawai tembea huko hata netwk ya huko huna?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…