Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata uwe mchomekeaji vipi huwezi kuchomekea koti
1. UMEME HAUNA KIUNo LAKINI UNAKATIKA.
2. UJINGA NI KUMWANDIKIA M2 ''I LOVE U'' NA KUSUBIRIA JIBU,WAKATI SIYO SWALI.
3. BUSHA HUWEZI KULIVALIA MODO.
4. LINALOJAMBA NI TUMBO,MK*ND* KIPANZA SAUTI TU.
5. HATA UWE BIGWA W FASHENI VP, HUWEZI KUNYOA KIDUKU KWAPANI.
1. Hata KONDOM nayo ni mpira lakini hauwezi kuonyeshwa kwenye supa spoti.
2. Zunguka dunia nzima huwezi kukuta CHUPI yenye kola.
Na mm natamani niweke yangu ila sina jamani, nyie mnazitoa wapi?
kupenda usipopendwa ni sawa na kusubiri boti uanja wa ndege